Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,039
- 107,548
Ndio maana huyu aliwachana ukweli.Mazuzu hayana pesa sasa yanatumia visa 😂😂😂
Ruto anashinda asubuhi na kweupe! Na kitakachotokea ni kambi ya Gachagua italazimisha awe mgombea wa Rais na kusahau Kalonzo Musyoka anawangojea!Ndio maana Ruto anatakiwa ashinde uchaguzi awamu ya pili ili Matajiri wa bongo waendelee kuwanyoosha.
sina hebu tuhabarishe!Pale ocean road kuna mradi u ajengwa, zimevunjwa zile nyumba za NHC .. una taarifa yoyote kaka.?
Ngoja niulizie.Pale ocean road nilipita jana nimeona wamevunja zile nyumba zote za NHC zilizokuwa kando ya barabara jirani na Agah khan hospital, halafu ni kama kuna ujenzi jnaendelea ndani, wamezungusha bati. babayao255 any idea.?
Picha za 2009
Tanzania itamsaidia Ruto kushindaNdio maana wanamkataa.? 😂😂😂. Sasa huko kwao matajiri hakuna. Wanategemea mazungu tu.