stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,837
dont you see they are posted by world class football pages, ooh i forgotThis like the 50th time you guys are posting about this. Lack of exposure is a serious weakness . Hii ndiyo definition ya Ushamba .
Diplomacy has two swords . It can also show one nation status in relation between states. In this case Kenya looks superior. You will never see Kenyans lining up on streets waving flags to welcome a Tanzanian President.Jifunze mambo ya Diplomasia. Inaonesha wakenya hamjui mambo ya Diplomasia kuanzia kwa Rais wenu mpaka kwa wananchi. Jana kuna mambo mawili makubwa Ruto kafundishwa.
1. Kutangaza Project kwenye nchi nyingine bila bila taarifa ya wahusika. Kaulizwa swali ajieleze kaanza kujikanyaga kanyaga tu. Swali hilo kwetu sisi watu wa ICT tumelichambua na lipo na majibu mengi mno.
2. Alitakiwa kufika Dar saa nne asubuhi lakini kafika saa saba mchana. Hiyo yote ni kukosa uelewa wa International Relation. So Kama Rais wa nchi anafanya hivyo, how can you trust his people?
3. Waswahili tunajua kwa maneno, wakati Rais Samia anafunga Kongamano, kuna maelezo muhimu sana aliyasema (EAC ilikuwepo na haya waliyoyapendekeza wakenya yalikuwepo, but what happened? Wakati huo watu walikuwaa Educated but now we are learned) Bado wakenya hawataweza kuelewa mpaka 20 years ijayo,
na cha ajabu ndo uwanja wa 2 below sahara that can host a competitive match anytime, wengine wote can host friendliesIt's the rainy season and fields must be prepared early enough. Makwapa stadium, a catt 4 stadium according to Mr. Insider info aka nyamwezi hunter and gatherer, wameamua kutayarisha shamba mapema kwa upanzi wa mihogo!
View attachment 3584106View attachment 3584107View attachment 3584110View attachment 3584111
Your ignorance of Diplomacy and Protocol issues cannot remove any truth.Diplomacy has two swords . It can also show one nation status in relation between states. In this case Kenya looks superior. You will never see Kenyans lining up on streets waving flags to welcome a Tanzanian President.
Not in this age . Maybe a few paid traditional dancers might show up . Ruto was treated in Dar like he was Obama …😆😆
we ni fala kwel, Ushawahi kuona any leader amekuja tz akapokelewa vibaya? Dont you know thats our nature to welcome and treat people well? Infact amekuja KuombaDiplomacy has two swords . It can also show one nation status in relation between states. In this case Kenya looks superior. You will never see Kenyans lining up on streets waving flags to welcome a Tanzanian President.
Not in this age . Maybe a few paid traditional dancers might show up . Ruto was treated in Dar like he was Obama …😆😆
overall sisi hua tunapenda kukaribisha watu, hatuna roho mbayaYour ignorance of Diplomacy and Protocol issues cannot remove any truth.
Kwenye uwanja wa Diplomasia zipo aina 5 za Visits. And In diplomacy all protocols are the same regardless the country? Do you know why there is protocol in International relations?
Type of Visits:
State Visit - Rais anapigiwa mizinga 21 (All members of UN)
Official Visit - Hakuna mizinga
Working Visit - Hakuna mizinga
Private Visit - Hakuna Mizinga na hakuna big welcome
Cooperation/Humanitarian Visit - Hakuna mizinga.
Your ignorance and lack of knowledge of international relations cannot eliminate the things that are happening to Kenyans who do not know Diplomacy and Protocol.
Wakenya Diplomasia ndio hii hapa. Tanzania ni ya moto sana
View: https://www.instagram.com/p/DX6nYtoCGTe/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==