stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,388
- 33,852
kwahio mshaanza kuchezea fimbo saaahv 😂 Teargass
View: https://x.com/KijanayaKabras/status/2051330747529633914?s=20
Mpaka nimemuonea hurumaThey seem to share the same language. Hiki ni Kisomali or Kikamba?
Na Kuna Msomali mwenye.rasta?
All in all, wana roho mana sana.
Jifunze mambo ya Diplomasia. Inaonesha wakenya hamjui mambo ya Diplomasia kuanzia kwa Rais wenu mpaka kwa wananchi. Jana kuna mambo mawili makubwa Ruto kafundishwa.Woooow!!!!… Thank You TPDF marching band.. I was so impressed hearing Kenyan patriotic music as the guard of honor march passed Pres. Ruto and Samia for the salute . Thank You for the generosity…Ruto don’t even get that kind of welcome in Kenya anymore ( so many people cheering).
Hawajui Tz ni baba wa Mozambique. Tukikunja uso tuu wanajua baba amekasirika na wanafuata maelekezo yetu heshima yetu ipo sio kwaajili ya nguvu za kiuchumi ama kibiashara bali utu tuliowatendea wakati wakitafuta uhuru wao. Diplomatic number plates za gari Mozambique tanzania wamepewa 001 na tanzania house iko kwenye major street in Maputo hii yote ni heshima kwa sacrifice tuliyowafanyia.walienda Mozambique wakajikuta hawana pa kupita!
Man of the moment! yaani hiyo gas pipeline ni mradi ka-initiate na lazma atakuwepo na hata hiyo refinery yeye ndiye kamuita Dangote kwa baraka ya Museveni atakuwapo pia na uzuri anasikilizana na uongozi wa sasa wa Kenya! Jamaa anacheza calculated moves!Mwana Igunga anakimbiza nyangau huko.
Usisahau Chuo Cha Diplomasia kilichopo hapa Dar ni cha Tanzania na MozambiqueHawajui Tz ni baba wa Mozambique. Tukikunja uso tuu wanajua baba amekasirika na wanafuata maelekezo yetu heshima yetu ipo sio kwaajili ya nguvu za kiuchumi ama kibiashara bali utu tuliowatendea wakati wakitafuta uhuru wao. Diplomatic number plates za gari Mozambique tanzania wamepewa 001 na tanzania house iko kwenye major street in Maputo hii yote ni heshima kwa sacrifice tuliyowafanyia.