stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,570
- 39,813
View: https://x.com/belindaPINDA01/status/2051556808079094107
Dah, aisee hawa watoto wa Kenya wana upuuzi mwingi!
Aisee kweli? ni aibu!Huyo belinda ni mTZ
maana ya Delulu? Ongea vitu vya maana! The guy tried before with Rift Valley railway, Uhuru akam-block!
View attachment 3584011
MY TAKE
sasa kila kitu chenye nation brand ni chake Nationmedia, Taifa gas, Taifa mining na ninavyoona soon kampuni ya simu Yas by Mixx inaweza ikaitwa Taifa! Inakaa mpango wa kununua all nation related empire ulisukwa ukasukika! 😀 😀
From this...
View: https://youtu.be/FsdIEL_kyH0?si=RiX6EUXk21BACTV3
to this...
View: https://youtu.be/k6BN7BQ7LQc?si=cCviXafhkFhf95Io
And this...
View: https://www.instagram.com/reel/DX7TavyBf7z/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
sasa mbna hamna picha iko assembled in kenya, apo ni picha ya bus na abiria wakipanda!Kuna watu walikuwa wanapinga humu eti Marco Polo zao hazitoki Kenya.😂😂