Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From now henceforth i will borrow a leaf from your page . I will be posting 2 full pages of the crap in Bongo on a daily basis … hope you will cherish the moment…
Sasa unamtisha nani
Si upost hivyo vitu unavyotaka kupost, kuna mtu kakuzuia au umekula githeri nyingi leo😂😂
 
apo stendi imeisha
1777656194227.png
 
Wajir county hospital can perform surgeries ambazo mikoa nyingi za bongoslum haziwezi fanya in 2026.
Mwambie Wajir and Mandera County hospitals are well equipped than 95% of Tanzanian hospitals.
 
Kwani hiyo ndio biggest hospital in that region maana hii haifikii hata Ndanda Hospital, a village in Mtwara Region 😂😂
Tune has now changed from hakuna hospitals in Wajir to Mandera Hadi haifikii hata Ndanda Hospital 😂😂🤣

Ndanda enyewe ni A private hospital? Hakuna hospitality ya serikali that can be compared with Wajir and Mandera County Hospitals?🤣😂
 
Sasa kama Ndanda ni village na ina hospitali kubwa kuliko Wajir yenye 180K people huoni kama Wajir si sehemu ya kuishi binadamu?
Wajir iko na watu wengi kushinda Njombe town na bado Njombe ina better hospital than Wajir and Mandera combined 👇
FB_IMG_1777657559303.jpg
 
Back
Top Bottom