Ndio maana tunawajengea Hospital.Kila Mkoa Tzn una CT scan,Wajir ipo? Mandela Je? 😆😆
Africa nzima inakuja Tanzania kujifunza jinsi tumepunguza vifo vya wamama wajawazito na Watoto Kwa 80%
Wajir has a better hospital than most regions in bongoslum. Haitaki hasira.