Fool ukiambiwa uchumi wenu uko consumption based kuwa hamfanyi developemnt hapa tunamaniisha production haina mchango mkubwa sana kwenye gdp hivyo ni either recurrent expenditure ziko zaid ya consumption , hivyo unalazimika kukopa kwa ajili ya matumizi, ukikopa kwa ajili ya sgr ambayo ni part ndogo bado itakuwa development ila at what percentage.?
Hapa tumaanisha mikopo inayotumika kucover recurrent expenditure ni mikubwa kuliko dev.
🤣🤣🤣🤣
Au reccurent expenditure kwako ni ngeni masikioni?
Ndo maana unaambiwa mnakopa sana na kuinflate sana lakini matumizi mengi yanaenda kwenye recurrent expenditure