babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,281
- 35,683
Naonaga muda mwingine kubishana na hawa nywele ngumu ni kupoteza tu muda. 😂😂😂Ukisomba kitu inamanisha unakibba na kuhamisha kwenda sehemu nyingine , sasa mbona hizo viaduct hazijahama 🤣🤣🤣
Na uzuri umesema viaduct, haya kama zilipoteza nguvu leta picha walifanya replacement ya viaduct zingine nzito kustabilize zile zilizokosa nguvu! 🤣🤣🤣
Kumbe ukisomba kitu hakihami? Hehe kwani elimu yenu mnaipatajeView attachment 3581914