Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa mandela stadium hauijui? its one of the best CAT 4 stadiums we have in the region infact kenya national team have always used it

BTW ulisema uko ahead in every aspect was expecting a CAT 4 stadium, ama hamna 🤣
So hizo ni 3?🤣🤣😂
 
Our GDP is 2× ya Tanzania, do I need to explain more?😂🤣🤣

Gdp can be created .
Unakopa sana una inflate project kama talanta na sgr , tukija kwenye hesabu inaonekana imejenga sana Kumbe zero effects
The standard GDP identity is:
GDP = C + I + G + (X − M)
Where:
C = Private consumption
Hapa nyinyi mnapata hela za wadada wakaz mliowapeleka Dubai kwa ajili ya matumizi ila uzalishaji wa ndani hakuna . Gdp inatakiwa iwe ni uzalishaji wa ndani.

This represents household spending on goods and services such as food, rent, healthcare, and transport.
I = Investment
This includes business spending on capital goods (machines, buildings), residential construction, and changes in inventories.
G = Government spending
Hapa ndo serikali yenu inapowachezea inakopa sana Ina inflate projects kama talanta, sgr , stadiums zenu badala ya kutumia 4.5mil/km kujenga sgr mnatumia 13mil usd.
Imagine mpaka salary mnakopa

This is expenditure by the government on public services such as infrastructure, defense, education, and health.
X = Exports
Exports zenu ni ndogo sana ikimaanisha. Uzalishaji wenu ni mdogo vilevile
Goods and services produced domestically and sold to other countries.
M = Imports
Goods and services purchased from other countries.
The term (X − M) is called net exports. It adjusts GDP for trade balance. If exports exceed imports, net exports are positive; if imports exceed exports, it becomes
 
kwahio CAT 4 HAMNA SIO 😂😂😂
Nangoja utaje CAT 4 Tatu za Uganda zenye ulisema🤣🤣😂🤣.

Remember no Stadium in Uganda passed the first Inspection, sasa sijui hizo zako Tatu umetoka wapi😂😂🤣
 
Nangoja utaje CAT 4 Tatu za Uganda zenye ulisema🤣🤣😂🤣.

Remember no Stadium in Uganda passed the first Inspection, sasa sijui hizo zako Tatu umetoka wapi😂😂🤣
Nyoosha tu maelezo hamna stadium 😂 😂 nyie endeleeni kujenga vibanda mkoani 😂
 
stadium unayo huna nywele ngumu?
So you can't prove your claims? Ulikuwa unaongea Tu bila evidence?🤣🤣🤣.

Nangoja utaje hizo Stadiums Tatu za Uganda that are CAT 4😂🤣😂
 
Ukisomba kitu inamanisha unakibba na kuhamisha kwenda sehemu nyingine , sasa mbona hizo viaduct hazijahama 🤣🤣🤣
Na uzuri umesema viaduct, haya kama zilipoteza nguvu leta picha walifanya replacement ya viaduct zingine nzito kustabilize zile zilizokosa nguvu! 🤣🤣🤣
Kumbe ukisomba kitu hakihami? Hehe kwani elimu yenu mnaipatajeView attachment 3581914
Naonaga muda mwingine kubishana na hawa nywele ngumu ni kupoteza tu muda. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom