Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajenga stadiums ama kituo, Stadiums zina CAT, ebu tuonyeshe stadium yoyote ya kenya CAT 4
Nimekuuliza na unahepa. Tofauti ya Wajir Stadium na Arusha Stadium ni nini?😂🤣😂 Both are below 30k seats.
 
Remember your hyped Arusha Stadium is 20k seats, by the way tofauti ya Arusha Stadium na hiyo ya Wajir ni nini?🤣🤣😂🤣.

Sisi tunajenga 10k seats in every county na hatupigi kelele.
we know how it will end

1777546724365.png


1777546740089.png


1777546778561.png
 
Whatever Kenya is doing you will never see in Tanzania in your lifetime.
Kweli buana you hamuwez kuwa na sgr ya km2400 ,hamuwez kuwa na hydroelectric station ya 2100mw hamuwez kuwa hamuwez kuwa gas plants in Kenya hizo ni ndoto kwenu.
Haya tuambie kati mlivyo navyo tumekosa nini sasa
Hamuwez kuwa na media power house ya kuonesha mpira kama Azam na actually bila Azam mpira wenu ni zero.
 
Sorry kwa hasira😂😂🤣😂🤣.

We are building stadiums across the country, something that your poor government can't do.
pole kenya haina CAT 4 nchi nzima, a country as Uganda has 3
 
Sorry kwa hasira😂😂🤣😂🤣.

We are building stadiums across the country, something that your poor government can't do.
Imagine building poor cement floors and calling them stadiums 🤣 kwahio saaahv hamtachezea tena congo sio 🤣
 
Imagine building poor cement floors and calling them stadiums 🤣 kwahio saaahv hamtachezea tena congo sio 🤣
Kenya is far ahead of Tanzania in every positive indicator. Taja moja nikuonyeshe.
 
Kweli buana you hamuwez kuwa na sgr ya km2400 ,hamuwez kuwa na hydroelectric station ya 2100mw hamuwez kuwa hamuwez kuwa gas plants in Kenya hizo ni ndoto kwenu.
Haya tuambie kati mlivyo navyo tumekosa nini sasa
Hamuwez kuwa na media power house ya kuonesha mpira kama Azam na actually bila Azam mpira wenu ni zero.
Our GDP is 2× ya Tanzania, do I need to explain more?😂🤣🤣
 
Kenya is far ahead of Tanzania in every positive indicator. Taja moja nikuonyeshe.
ukimaliza show us 20 EXTREMELY poor countries on earth, and ukimaliza show us biggest slums in Africa utuonyeshe za tz alafu mm ntakuonyesha watu wanapigana na camels 😆
 
Umeshindwa kutuonyesha hizo CAT4 za Uganda?😂😂🤣🤣
kwa mandela stadium hauijui? its one of the best CAT 4 stadiums we have in the region infact kenya national team have always used it

BTW ulisema uko ahead in every aspect was expecting a CAT 4 stadium, ama hamna 🤣
 
Back
Top Bottom