Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wow dar es salaam
E74AD4ED-F730-4228-9659-B3AED978DC28.jpeg
 
and yet you hear them call their nation a middle economy country while some of youth from poor families fail to join secondary school due to lack of fees.

0153882f3633db6c7616adc89781ba8a.jpg
 
The thing is ni Mali ya Muzungu, hiyo anatokea wapi sio kazi yangu, Nyie na Sura zenu mbovu hamna chenu hapo Kenya Mnaishia kupiga picha majengo ya wahindi na wazungu na wanasiasa Wakikuyu hapo Westlands.



that's what Nigerians tell south Africans . hahaha.mwafrika akiona mwenzake amemshinda atasema ni mali ya wazungu...........
 
Nilikuwa nasikia hilo jina Oysterbay and I used to think ni mtaa wa maana sana. Kumbe inakaa tu hivi! Hiyo hata kwa hurlingham haifiki robo. Pale Muthaiga na Runda nilizokutajia kuna rental houses za ksh300,000 per month! Hizo ni kama milioni sita za Tanzania. Ndo maana nikakuambia tukileta picha za kule mtakimbia mpotee kule mazense
Huku Tz kuna nyumba za milioni ishirini sabini kodi ya mwezi Kenya mko nyuma hivyo
 
First, wacha kudanganya ulimwengu that Tanzania is building anything close to that. The picture above is not even a three-level interchange. it is a four-level interchange so definitely it's not Ubungo. You have shared millions of pictures of ubungo interchange here so we all know how it will look like. Wadanganye wengine. Secondly, Ubungo will not be East Africa's first three-level interchange. Tulishajenga moja kitambo sana. Google "Pangani interchange". As always, you are just copycats
Kijana acha hasira, Kijiti tushakichukua ni zamu yenu kuzinga..

Hebu chukua glass ya juisi hapo, Kunywa taratibu huku ukiendelea kutazama picha hii
b339bcd6a719ec92c948716bf057abad.jpg
 
Back
Top Bottom