Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yenu mnajifanyanga wajuaji Sana.

This is the recently released ESIA for SGR phase 2B to Kisumu. I have circled where there's an option for electrification.

View attachment 3581694

Hapa mada kuu ni kuwa mnajenga sgr itakayotumia diesel tu, hizo condition zote hapo ni sawa na phase 1 ya kutoka Mombasa mpaka Nairobi .
Kuacha sehemu ya kuweka poles tu za umeme hata phase 1 ipo.
Tukija kwenye electrification mahitaji maeneo ya kuweka power station ( kwenye ESIA yenu hakuna)
Mahitaji ni form of signalling siyo hiyo mlivyoweka hapo nayo no costfull bado.
Inshort mnajenga ileile sgr with same characteristics za Nairobi Mombasa, hakuna jipya.
Na hata mkiweka umeme itabidi muingie gharama ya kupunguza curves na kui weld hiyo sgr yenu ili muweze kwendana na speed ya tz.
Kwa characteristics hizo hapo hata mkiweka umeme Leo hamtaweza kutembea speed ya 174 au 160km/hr kama ya tz.
Difference ya ESIA yetu na yenu inuonesha mkandarasi na anajulikana , yenu imeandaliwa na NEMA kuwapa matumaini wakenya kuwa kazi itafanyika🤣🤣🤣
 
Kichwa ngumu, tunaongelea Reli Kobe ya Malaba.. achana na habari nyingine. Weka details hapa..

Na si unajua Reli Iko chini ya Mchina hadi mmalize deni? Sasa mnadanganywa kifala sana nyie kenge... Mkija kushituka ni maandamano tu.

Usije kupigwa ngenya ya pili usoni hapo kwenye maandamano yenu nywele ngumu
Wanajisifia eti watawekewa umeme baada ya kumaliza ujenzi🤣🤣
Wanajengewa reli sawa na Ile ya Nairobi to Mombasa with same curves, same gradients,same signalling system at a cost twice Ile ya bongo ila bila power stations za umeme
 
Hapa mada kuu ni kuwa mnajenga sgr itakayotumia diesel tu, hizo condition zote hapo ni sawa na phase 1 ya kutoka Mombasa mpaka Nairobi .
Kuacha sehemu ya kuweka poles tu za umeme hata phase 1 ipo.
Tukija kwenye electrification mahitaji maeneo ya kuweka power station ( kwenye ESIA yenu hakuna)
Mahitaji ni form of signalling siyo hiyo mlivyoweka hapo nayo no costfull bado.
Inshort mnajenga ileile sgr with same characteristics za Nairobi Mombasa, hakuna jipya.
Na hata mkiweka umeme itabidi muingie gharama ya kupunguza curves na kui weld hiyo sgr yenu ili muweze kwendana na speed ya tz.
Kwa characteristics hizo hapo hata mkiweka umeme Leo hamtaweza kutembea speed ya 174 au 160km/hr kama ya tz.
Difference ya ESIA yetu na yenu inuonesha mkandarasi na anajulikana , yenu imeandaliwa na NEMA kuwapa matumaini wakenya kuwa kazi itafanyika🤣🤣🤣
I told you that you will always remain a fool. The discussion was that our SGR has provision for electrification and we can electrify it anytime we like.

1000257858.jpg
 
Huyo jamaa huwa fala. I'm sure hata hajamaliza kusoma hiyo part😂😂🤣.

In other words he has just proven you right.

Reserved hata Nairobi Mombasa Iko nayo na huu ni mwaka 9 haina mpango wa electrification. Hizi kazi bado zitahitajika kufanyika maana hazipo.
To convert Kenya’s diesel-powered SGR to a fully electric system comparable to Tanzania’s, the railway would require major infrastructure, rolling stock, and systems upgrades.

Main required upgrades:
Overhead electrification system (OCS)
Installation of catenary wires along the full corridor
Support masts, gantries, and tensioning systems
Electrical clearances on bridges, tunnels, and stations
Traction power supply infrastructure
High-voltage substations at intervals
Grid connection to national electricity network
Transmission lines and backup systems
SCADA power control systems

Signaling and control modifications
Integration with electric train power zones
Upgraded train control systems
Additional protection systems for electrical faults
Rolling stock replacement or modification
Diesel locomotives would need replacement with electric locomotives
Passenger EMUs or electric freight locomotives

Maintenance depots
Specialized equipment for pantographs, transformers, and electrical systems
Workforce retraining
Environmental and safety compliance
Fire protection
Earthing systems
Public safety barriers

Estimated cost distribution:
Electrification infrastructure: ~50–60%
Power supply and substations: ~20–25%
Rolling stock: ~15–20%
Structural modifications and signaling: ~10–15%
Hapo nyinyi mnakwepa structural modifications tuuu , ambayo Inaweza kuwa 10% ya total cost of electrification.
Yaan kufanya electrification kwa whole project haiwezi kuwa chini 1bil usd .
Je hiyo hela mtatoa wapi wakati mishahara tu mpaka mkope🤣🤣🤣
 
Reserved hata Nairobi Mombasa Iko nayo na huu ni mwaka 9 haina mpango wa electrification.
Because we still don't see the need but juu sasa tumeamua, we will electrify it whether you like it or not.
Whether you kithni or ndekni we will electrify our line when need arises.
 
Because we still don't see the need but juu sasa tumeamua, we will electrify it whether you like it or not.
Whether you kithni or ndekni we will electrify our line when need arises.

Hata lapsset ilikuwa hivyohivyo ila almost 30 years bado project kukamilika.
 
Hata lapsset ilikuwa hivyohivyo ila almost 30 years bado project kukamilika.
Key components of lapsset is moving smoothly. Port is operating, there is an airport at Isiolo, there's a road to Garissa, there's a road to South Sudan and there's a Road to Ethiopia. Railways is in the feasibility stage. Actually we are ahead of time.
 
Hatuna huo uwezo kwani wewe ndio utatoa pesa? Any railway line can can have electric trains. Hakuna Kitu ngumu hapo.

Mngekuwa na huo uwezo mngekuwa mshafikisha hata Kisumu , ila mpaka sasa mnazidiwa na tz ambayo inajenga 2400km kwa mkupuo.
Nyinyi hata funds hamna uhakika nayo😭😭😭
 
Key components of lapsset is moving smoothly. Port is operating, there is an airport at Isiolo, there's a road to Garissa, there's a road to South Sudan and there's a Road to Ethiopia. Railways is in the feasibility stage. Actually we are ahead of time.

Lapsset include sgr kwenda Ethiopia na vision yake ilitakiwa iwe by 20230.
Tunaomba utupe updates ya sgr Toka lamu kwenda Ethiopia ikiwepo na pipeline ambayo ilikuwa kwenye projects zake.
Pia ebu tutajie international airlines inayo operate kutokea isiolo maana projects ili target kuwepo na major cities along the corridor na international airports .
Ebu tupe mchoro wa sgr na pipeline kwenda Sudan na Ethiopia ukionesha mlipojenga
 
Key components of lapsset is moving smoothly. Port is operating, there is an airport at Isiolo, there's a road to Garissa, there's a road to South Sudan and there's a Road to Ethiopia. Railways is in the feasibility stage. Actually we are ahead of time.
Key components ilikuwa
Pipeline
Sgr to Ethiopia and Sudan
Lamu port ( ipo)
Major cities along the corridor ( bado kuziona)
International airport pale isiolo ,lamu na lokichoggio( unasema isiolo ila hakuna hata major international airlines operating from this)
Industrial parks ( hakuna hata moja kwa corridor)
Tourism hubs pale turkana isiolo na lamu ( bado kuziona)
Oil refinery in lamu ( ndoto ishakufa)
Na deadline ni 2030
 
Mngekuwa na huo uwezo mngekuwa mshafikisha hata Kisumu , ila mpaka sasa mnazidiwa na tz ambayo inajenga 2400km kwa mkupuo.
Nyinyi hata funds hamna uhakika nayo😭😭😭
Let's see which SGR will reach the border first. Hata Talanta Stadium mlisema hakuna finds, saa hii almost complete.
 
Key components of lapsset is moving smoothly. Port is operating, there is an airport at Isiolo, there's a road to Garissa, there's a road to South Sudan and there's a Road to Ethiopia. Railways is in the feasibility stage. Actually we are ahead of time.

Ahead of time 😭😭😭 vision 2030 , bado mko kwenye feasibility study, ndo maana tunawaambia nyinyi mmezoea ujinga tu, by that time mnamaliza hiyo project tutakuwa na almost 10,000 km of sgr network in tz
 
Back
Top Bottom