Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, wacha kuanika upumbuvu wako hadharani. That's not a skybox. Skyboxes have features and that picture does not have even a single feature of a skybox.

Eti skybox ina nguzo? Look at the Allianz Arena skyboxes View attachment 3578323View attachment 3578324View attachment 3578325
We fala hio sio skybox inaitwa LOUNGE, skybox ni hivi

1777020344727.png
 
My Take
Hili halitafaulu litaishia kuwa stori.

Maamuzi kama haya ndio yalimpa Magufuli point 3 muhimu hapo asingewasubiria kina Kenya na Uganda ambao wanaona refinery ya Dangote kama mshindani Kwa Mafuta yao.

Angemtafuta Dangote na kukubaliana waanze ujenzi mara Moja,hao wakitaka watajiunga baadae 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DXgZ8eaiJXe/?igsh=MWExdmJjeG5ub2Q3cQ==

Hawa wa saizi watakuwa na vikao visivyoisha.

Dangote wazo lake mwanzo ilikua kenya but you know how it went, watu walitaka pasu
The same way alivotaka kufungua kiwanda cha cement kenye mwishowe akajenga Ethiopia
 
Kwa hiyo tutasubiria kina Kenya na Uganda Masharti Yao ndio kiwanda kijengwe?
 
No hujaelewa hio concept, anachotaka ni nchi zote 3 ziungane kwa sababu, Uganda tayar wana bomba refu la mafuta kwenda Tanga, so it makes sense to build a refinery there kwa sababu tayar bomba la mafuta machafu lipoalafu linaenda Tanga(Bandarini) means nchi yoyote inaotaka mafuta wanaweza kwenda tu bandari ya Tanga

So this means, Congo, Uganda, Turkana wote watapump mafuta machafu kuja Tanga(Refinery) alafu kutakua na bomba fupi la kwenda mombasa(Refined oil) alafu kenya na Uganda tayar wana pipeline yao ya mda ya mafuta masafi
 
Uganda Wana ratiba ya kujenga refinery kule kwao, Kundustan wanataka wajenge Bomba la Mafuta safi kutoka Mombasa,Nairobi,Eldoreti,Kampala Hadi Kigali.

Unadhani watakuwa na hamu na kiwanda Cha Dangote wakati itawapa ushindani kibiashara?

Tanzania hatuhitaji kusubiria hao ,tujenge Kwa Kushirikiana na Dangote tunatumia Mafuta ya Uganda,South Sudani na Arabuni kwenye hiyo refinery.
 
A refinery is mostly unprofitable kama hauuzi mafuta nje, infact kenya walikua na yao waliifunga nadhan 2003, ni biashara moja kichaa ndo maaana watu wanaikwepa!

Refinery ya Tanga makes more sense because ships can dock pale kama hormuz wanavofanya na unaweza kuuza kwa watu wengi zaidi, Hata ivo Uganda anaweza kuuza kwa nchi za juu yake zote ethiopia, chad, djibouti etc sudan
 
Hujaelewa nini? Kuna haja ya kuwasubiria hao nilikwambia Wana mipango Yao? Zambia wanajenga Yao for domestic demand mbona?
 
Tourists number difference between Kenya and Tanzania is 3M, lakini revenue difference is only 70B.

If at all we receive the same financial status of tourists then the revenue ya Tanzania should more than double ya Kenya.
it doesnt matter, the thing is We received more tourists, the revenues are only based on the ongoing campaign
and also Tanzania can focus on low price high number tourism which attracts even more tourist
 
Obviously cooked. How can Tanzania arrival numbers double ya Kenya but when it comes to revenue we are almost the same.
almost the same, 70B more your calling almost the same? Your stadium was built on 46B and your calling 70B the same?
 
Back
Top Bottom