Haha Mimi naona kuna mchezo ruto kagundua.
Bandari ya dar wanaongeza berth 10 zitakuwa sawa na Mombasa, mizigo mingi ya eastern congo itahamia dar kwa sababu ya ukaribu.
Tanga Inaweza leta competition kwa Mombasa sababu ya ukaribu hasa ikimaliziwa kuongeza berths, kuna kipindi museveni alitaka awezeshwe Tanga
ili kupunguza ushindani ni kuifanya Tanga iwe export hub ya mafuta hapo kutakuwa na meli nyingi za kupakia mafuta na kushusha crude oil kwa ajili ya refinery, ita discourage containers ambazo zitaendelea flow Mombasa🤣🤣🤣🤣.
Ruto kacheza kama pele