Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio oil refinery sio ya mafuta ya uganda peke yake, according to his speech amesema oil from Uganda, congo, sudan alafu kutakua napipe moja ndefu inaenda mombasa and then mafuta yataenda through Uganda, maana yake ni Tanzania itakua Africa REFINERY HUB in 5 years because we will refine oil for Kenya, uganda, congo, Ethiopia all the way mpaka west africa countries zitakazoconnect either via kenya or Uganda Means Tanzania ndo itakua HUB

View: https://x.com/vinguard254/status/2047349058797174927?s=20
 
internet imeachafuka! Yet Dangote anatoa fedha yake mfukoni!
Btw wazo lake ni zuri, japokua Hub itakua tanga

1776976767452.png

kenya will sell oil to all countries in the north kama watakua sharp watapiga pipe kwenda kenya
Uganda the same washanunua Kenya pipeline, wayauza mafuta kwenda kote mpaka chad kule, sudan

Wazo ni zuri sana and it will ensure reserve za hela zinabaki stable since unalipia na local currency yako tu, overall this is a nice idea and it will revolutionize how OIL in 5 years itakua ni unapiga pipe kutoka ethiopia kwenda djibouti

nae djibouti anapiga pipe kwenda eritrea hilo wazo ni zuri sana

ikiwa executed vizuri Tanga italindwa sana ehehehe AU yote itaweka macho pale
 
Btw wazo lake ni zuri, japokua Hub itakua tanga

View attachment 3578225

kenya will sell oil to all countries in the north kama watakua sharp watapiga pipe kwenda kenya
Uganda the same washanunua Kenya pipeline, wayauza mafuta kwenda kote mpaka chad kule, sudan

Wazo ni zuri sana and it will ensure reserve za hela zinabaki stable since unalipia na local currency yako tu, overall this is a nice idea and it will revolutionize how OIL in 5 years itakua ni unapiga pipe kutoka ethiopia kwenda djibouti

nae djibouti anapiga pipe kwenda eritrea hilo wazo ni zuri sana

ikiwa executed vizuri Tanga italindwa sana ehehehe AU yote itaweka macho pale
hamna kitu kama hicho Uganda refinery ipo U/C! Hiyo pipeline ya Kenya ni kwa ajili ya ku-supply Kenya yaani distribution across Kenya! unless iwe extended beyond borders! na sidhani kama Uganda itakuwa tayari kwa hilo wakati yenyewe inajenga refinery yake with 60,000 barrels per day! Refinery hiyo ya Tanga ni sababu itakuwa karibu na Mombasa ambapo kenya pipeline inaanzia na pia kwa ajili ya ku-supply refined fuel overseas! na usisahau kuna uwezekano wa mafuta kugundulika Tanzania, kwahiyo kutegea prospects!
 
sidhan kama Uganda watajenga refinery, its a loss making program kama unajiuzia mafuta kama ni kuuza mafuta to huge scale apo sawa, BTW kenya walikuaga na refinery waliifunga wenyewe!

Idea ya tanga makes more sense because nchi inaweza kuja kununua mafuta straight Tanga port, Kule uganda sasa atamuuzia nan COngo nae kagundua mafuta
 
watajenga tena at advanced stage! google!!
 
Back
Top Bottom