Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
Vilio ni vingi sana
View: https://x.com/diana_wanjikuu/status/2047343500857942084?s=20
Kwahio POrt ya mombasa itakua inasafirisha nn sasa? cargo SGR tanzania
wanatoa povu kule twitter! Tanga is strategic yaani kutoka pale Chongoleani mpaka Mombasa a refined oil pipeline of only 120 km is needed! Then kwa vile Museveni kanunua Kenya pipeline! Vitu ni mwaah refined oil Mpaka Eldoret inafika! kingine kuna uwezekano mafuta yakagundulika around Tanzania!
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/2047326003916058951