Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa CCTV cameras ndio inapita VAR?😂😂🤣.

Hadi drones za kuvlog nayo siku hizi imekuwa VAR?😂😂😂
Tonyeshe match yoyote kenya yenye drone shots 🤣🤣 BTW weka azam pemben tuonyeshe any kenya match yenye quality inaofika ata 2k 🤣
 
Sasa CCTV cameras ndio inapita VAR?😂😂🤣.

Hadi drones za kuvlog nayo siku hizi imekuwa VAR?😂😂😂
Take heart and Heal, hizo levels utaziskia tu Mkapa, inshort your flexing something watu wanacho years back instead of flexing something no one else, unaonekana mshamba 🤣
 
Sasa CCTV cameras ndio inapita VAR?😂😂🤣.

Hadi drones za kuvlog nayo siku hizi imekuwa VAR?😂😂😂
Azam complex is more modern than Talanta because it has features Talanta doesnt have and no way will they have it
 
Kunawatalii wamekuwa wengi sana wa kwenda na kutoka Moro.
Watalii mara nyingi wanatumia emu.
Tunaweza introduce emu moja ya dar - Moro kama mbadala na zile locomotives zikawa za dom- dar.
Dodoma improve kuwa na abiria wengi sana kuliko kiwango
Au morogoro watumie zile double decker
 
solution ni hizi, wateja wamekua wengi kupitiliza

1776957615122.png
 
Just accept that none of Tanzanian stadiums have Fascia Boards, ukijubali hakuna mwenye atakuchapa🤣😂😂
i feel sorry for you because you dont know what sets a stadium apart, CAT 4 mtaiskia tu kwa wenzenu and infact HOIMA akikaza kidogo anafika CAT 4 before even you
 
Back
Top Bottom