Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

skybox ni pamoja na hiyo room ya ndani! Huwezi kuchukua seats tu mzee! Unakosea! Skybox huwa ina ndani na nje! na ina amenities kama bars na vyoo separate! usichanganye madesa! Hiyo hizo seats too! hiyo ni porch an extension! Kuna ndani na nje!
Mwalimu kageuzwa mwanafunzi!🤣🤣
Huyu kilaza wenu yuajifanya anajua wakati uelewa wake ni mdogo sana
 
Hakuna skybox hapo dude lina manguzo mbele yaki-block panoramic view! 😂😂😂

What then will you say about these pillars inside Allianz Arena skyboxes. Do they also block the views? Ama uwepo wao now doesn't make these ones skyboxes? Mnatia huruma sana kwa kukaza fuvu
View attachment 3576279View attachment 3576280
Leo umeamua kuua Mzee😂😂🤣
 
Leo umeamua kuuwa Mzee😂😂🤣
Wanajifanya wajuaji wakati hakuna kitu wanajua. Ona hadi wameanza kujikosoa wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣
Watu bladifkn kabisa
skybox ni pamoja na hiyo room ya ndani! Huwezi kuchukua seats tu mzee! Unakosea! Skybox huwa ina ndani na nje! na ina amenities kama bars na vyoo separate! usichanganye madesa! Hiyo hizo seats too! hiyo ni porch an extension! Kuna ndani na nje!
 
Skyboxes of Other Stadiums.

1776711284573.jpeg

1776711328046.jpeg

Skyboxes za Tanzanian stadiums 😂🤣🤣😂👇👇

1000248217.jpg
1000248256.jpg
 
Wanajifanya wajuaji wakati hakuna kitu wanajua. Ona hadi wameanza kujikosoa wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣
Watu bladifkn kabisa
🤣🤣🤣😂🤣.

Yani they want to force their stadiums to have Skyboxes just because Talanta Stadium will have them.
 
🤣🤣🤣😂🤣.

Yani they want to force their stadiums to have Skyboxes just because Talanta Stadium will have them.
dont worry utakaa sawa najua umepata depression ya ghafla ila utakaa sawa tu
 
Wanajifanya wajuaji wakati hakuna kitu wanajua. Ona hadi wameanza kujikosoa wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣
Watu bladifkn kabisa
he isnt wrong i added context on different type of skyboxes, however talanta doesnt have a skybox, najua mmepata depression ya ghafla but msijali mtakaa sawa soon
 
🤣🤣🤣😂🤣.

Yani they want to force their stadiums to have Skyboxes just because Talanta Stadium will have them.
The other day the Nyamwezi called stakehigh even said Makwapa has hydraulic cables. That ALL stadiums have hydraulic cable roof-lifting technology including their own makwapa 😂😂😂😂
Sometines they become so desperate

the stadium does use hydraulic technology" DURING construction Umalizie sentence, which is normal for all stadiums, thats how the roof is lifted
 
The other day the Nyamwezi called stakehigh even said Makwapa has hydraulic cables. That ALL stadiums have hydraulic cable roof-lifting technology including their own makwapa 😂😂😂😂
Sometines they become so desperate
Ebu mwambie akuonyeshe hydraulic roofing technology ya Arusha Stadium 🤣🤣😂
 
dont use alot of excuses sjui umeenda America, mara coffee wewe ni maskini kama maskini wengine na ujikubali, skyboxes ndo hizo tumewaonyesha leo na sio zile lounge mnapost uku, just go somewhere heal then be back
Sijaenda America . Naishi America.. mambo ya skyboxes is normal to me . Wewe ndio una Ushamba wa ku argue na mambo hujahawahi experience. So when I tell you that Talanta skyboxes resemble what exists in the best stadiums on the planet, just kubali kwa sababu hio ndio ukweli . I am not here to exaggerate. So now show us your Tanzania skyboxes . Wacha mambo ya Rwanda ..😆😆😆
 
Back
Top Bottom