Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,805
- 33,019
Tanzania haihitaji verification kutoka ukunduni.Nyuma ya hiyo sticker ni made in China 😂
This is actually the case in almost every African country but you don't live in a country where information is freely and fearlessly shared so you think you're safe.View attachment 3574690
Eti kunyan smart mind,mngekua smart msingelala kwenye nyumba za mabati
Air Tangagiza inanyesha ndani kunyesha. 😂😂 Abiria ameweka battle vs Ugandan Airlines na Air Tangagiza imepigwa Knockout.
View: https://x.com/i/status/2045210869211058314

Air Tangagiza inanyesha ndani kunyesha. 😂😂 Abiria ameweka battle vs Ugandan Airlines na Air Tangagiza imepigwa Knockout.
View: https://x.com/i/status/2045210869211058314
Wewe umechanganyikiwa … just stay tuned ujionee mambo …🤫Sasa mkuu unabishana na news tena? Alafu the US base the main reason alshabab doesnt stop attacking you
Infact its the main reason you lost the pipe which would have earned kenya billions monthly, the US is also the main reason oil prices are up
Hakuna mtu anaishi kwenye mabati Tanzania wewe, hicho kitu kiwepo na usione.? Eti unajifichia kwenye kichaka ooh Tanzania hakuna uhuru wa habari 😂😂😂 pimbi kweli hili kubwa zuzu.This is actually the case in almost every African country but you don't live in a country where information is freely and fearlessly shared so you think you're safe.
We mmarekani wa mchongo, kitaifa chako kinapigwa kama mbwa, dunia nzima inakikataa kitaifa chako. 😂😂😂 Iran imekivua nguo kitaifa chako.Wewe umechanganyikiwa … just stay tuned ujionee mambo …🤫
Kichapo cha mbwa. 😂Unataka rating ya KQ? kuanzia JKIA mpaka ndani ya ndege?![]()
![]()
Ulisikia wapi ?… it’s not even a fight .. total domination despite rules of engagement applied to protect civilians … so what are you talking about???We mmarekani wa mchongo, kitaifa chako kinapigwa kama mbwa, dunia nzima inakikataa kitaifa chako. 😂😂😂 Iran imekivua nguo kitaifa chako.
Hapa Hakimi akipura ball mnaokota nje ya uwanja juu ni kadogo Sana.Uwanja ushaanza kuchukua taswira yake sasa. View attachment 3574864View attachment 3574865
mm au wewe unaebishana na news sasaWewe umechanganyikiwa … just stay tuned ujionee mambo …🤫
Stadiums za Tanzania hazina supporting infrastructures hata moja.
This is railway line under Construction that will connect Talanta Stadium and Nyayo Stadium
View: https://youtu.be/DyT3sCduEWY?si=laOmRXxWnYkvpcsD