Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hakuna uswahilini?Africa Ni ileile acheni kujitekenya
Kama hiyo ndio uswahili acha tu ikae. Hata mombasa ni uswahilini lakini mitaa zake hazikai vibaya hivyo
 
Acha kuropoka, hizo ulizoona ndiyo slums za Dar, middle class is Sinza, Mbezi beach, Kigamboni and Mwenge, ukifika sehemu hizo utafunga mdomo wako.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
But why.. How??? I still don't understand.. Inakuaje MTU achunge ngombe mjini? Kuna mapori gani ya kufanya ngombe ashibe? So what you trying to say ni kwamba Nairobbery ni pori la akiba sio?[emoji23][emoji23]
Uko na shida ya kusoma au nini? Didn't you read the part I said that's not cbd? I have lived in Nairobi for nine solid years now but I have never seen cows katikati ya mji or even a long the major roads of the city, leave alone cbd. Maeneo ya eastlands yanapakana na kajiado county, the heartbeat of maaasais so wakati wa ukame they spill over with their cattle to Nairobi boundaries in search of water for their animals. Hawakuji huku kimalisho kilaza wewe.
 
Acha kuropoka, hizo ulizoona ndiyo slums za Dar, middle class is Sinza, Mbezi beach, Kigamboni and Mwenge, ukifika sehemu hizo utafunga mdomo wako.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Nishadharau huo mji wenu kijana. Hizo mitaa umetaja hapo juu si midlle class ila ni mitaa za wadosi, what we call ubabini here in Kenya. They are the equivalent of Spring Valley, Lavington, Kyuna or Karen here in Nairobi though I know bado hazifikii hizi mitaa nilizotaja. If the estates you mentioned above ni middle class, basi nitajie mitaa za wadosi mahali hata expatriates wanaweza ishi
 
whats modern there????????? just google diani beach festival then images then take a look at the best beach in Africa...
is diani modern marine transportπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
siku mkipata modern marine transport kama hii unitag i will be waitingπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
tanzania zimejaa kama uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…