Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When you are poor you accept a lot of dis respect

1776371626158.png
 
Wewe fala Dar ni China ndogo, na hizo biashara za nguo sijui viatu ni biashara za kila kijana hapa Bongo, no need of international brands.. akina jux sahii wame take over Africa.. ever heared of African boy brand.? 😂😂😂 sisi ni China kaka.
Hawaamini kwenye kumiliki brands zao wenyewe, wana amini kwenye kuletewa kila kitu hawa kondoo.
 
😂 Hii Talanta itafanya hio Amuharo yenu ionekane kama kibanda, na bado hatujaweka hybrid pitch na Media Facade lighting, utadhani Allianz Arena
View attachment 3574049
alafu hizo LED amahoro wameziweka mwaka wa 6 sasa, ndo imefika kenya saaahv nyie mnaziona basi ndo kitu cha maaana 🤣 🤣 🤣 and BTW amahoro seats are FOLDABLE sio kama hii takataka
 
alafu hizo LED amahoro wameziweka mwaka wa 6 sasa, ndo imefika kenya saaahv nyie mnaziona basi ndo kitu cha maaana 🤣 🤣 🤣 and BTW amahoro seats are FOLDABLE sio kama hii takataka
Tanzania kuna stadium yoyote with a LED advertising board on the terraces?
 
Back
Top Bottom