Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

60k capacity inamaanisha iko na advantage kuliko stadium ndogo kama Amahoro ya kuhost Finals and opening matches. Amahoro is an overhiped joke.
we jamaa ni fala, 🤣🤣 Hujawahi kuona Mkapa ikifungua Major african leagues? 🤣🤣 alafu unajipangia kufungua na kufunga wewe ndo uliweka BID? 🤣
 
Tanzania kuna stadium yoyote with a LED advertising board on the terraces?
Anajitetea na stadium za wengine ju Tanzania hakuna stadium 😂. By the time Talanta inakamilika atabadilisha citizenship akue Msouth Africa 😂😂
 
Are you aware 1,000 Kenyan shillings can feed in Tanzania for a month?😂😂🤣
if you have a relative who loves to play football mwambie awork hard kama wenzake asikae na maskini kama wewe, wenzake wote they are ditching the national team for tz
 
Remember this🤣🤣👇
1000244208.jpg
 
we jamaa ni fala, 🤣🤣 Hujawahi kuona Mkapa ikifungua Major african leagues? 🤣🤣 alafu unajipangia kufungua na kufunga wewe ndo uliweka BID? 🤣
Hio Makwapa yenu moja ilishindwa Na Kasarani hosting bid ya Finals pale CAF pamoja, a loss making entity 😂😂. Yani Kasarani iliuza tickets mingi kuliko stadium zote Tanzania😂. The whole tournament was dominated by Kasarani, you can Imagine what Talanta will do
 
kenyans are funny stupid, so you thought finals were are BID 🤣
 
Anajitetea na stadium za wengine ju Tanzania hakuna stadium 😂. By the time Talanta inakamilika atabadilisha citizenship akue Msouth Africa 😂😂
you can take online lessons to understand how stadiums are grouped 🤣🤣🤣 you can be poor financially but atleast read something online
 
Hio Makwapa yenu moja ilishindwa Na Kasarani hosting bid ya Finals pale CAF pamoja, a loss making entity 😂😂. Yani Kasarani iliuza tickets mingi kuliko stadium zote Tanzania😂. The whole tournament was dominated by Kasarani, you can Imagine what Talanta will do
alafu ata si ushukuru Tanzania is very generous added you to the BID, tusingewapa hio chance lini mngehost leave alone qualify to AFCON itself? nchi ina ukame mpaka kuqualify AFCON mpaka upate msaada wa BID
 
Hio Makwapa yenu moja ilishindwa Na Kasarani hosting bid ya Finals pale CAF pamoja, a loss making entity 😂😂. Yani Kasarani iliuza tickets mingi kuliko stadium zote Tanzania😂. The whole tournament was dominated by Kasarani, you can Imagine what Talanta will do
kwhaio mliambiwa modern stadium ni ile haina running track enhe nn kingine mliambiwa
 
Back
Top Bottom