Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nelson Mandela ndio Takataka gani. Uwanja za 1940 na running tracks nyekundu huwezi linganisha na Talanta my friend. Na ujue bado hujaona LED Advertisement board zinawekwa pale Talanta 😂. AFCON Opening na Finale Itakua Moto hapa Talanta, mtabaki mkishangaa

View attachment 3565127View attachment 3565128
we fala, stadiums zipo kwenye makundi ya CAT, the highest is CAT 4 meaning u can host any african match, Talanta haina CAT 4 na haiwezi kufika CAT 4, kasarani ndo kabisa tucheke, the only thing you can pull out now is talanta ambayo nayo ndo ivo tena mshaweka plastic seats, TAA ndo hivo tena, kwa luugha nyepesi nmeandika apo juu my opinions na nmesema , ikitokea kenya amehost AFCON basi itakua magic

Most kenyans dont understand whats needed for a stadium to host an elite african match and you will be shocked when time comes
 
Afadhali maana walikuwa wanataka kutuangusha tukose wote hii opportunity.
lakini bado, yaani kenya kuhost AFCON sioni chances zao, uwanja wa kasarani na nyayo CAF wamesema utatumika kwa mazoezi tu na sio mechi, talanta ndo hivo zile TAA na zile siti kama unavoona, ukijumlisha itakua mwaka wa uchaguzi pia, kiukwel i dont see it happening, no wonder fees imechelewa sana
 
Sasa nelson Mandela ndio Takataka gani. Uwanja za 1940 na running tracks nyekundu huwezi linganisha na Talanta my friend. Na ujue bado hujaona LED Advertisement board zinawekwa pale Talanta 😂. AFCON Opening na Finale Itakua Moto hapa Talanta, mtabaki mkishangaa

View attachment 3565127View attachment 3565128
Mimi sio mtabiri lakini .... 🤣 🤣 🤣 🤣
1774971917311.png
 
we fala, stadiums zipo kwenye makundi ya CAT, the highest is CAT 4 meaning u can host any african match, Talanta haina CAT 4 na haiwezi kufika CAT 4, kasarani ndo kabisa tucheke, the only thing you can pull out now is talanta ambayo nayo ndo ivo tena mshaweka plastic seats, TAA ndo hivo tena, kwa luugha nyepesi nmeandika apo juu my opinions na nmesema , ikitokea kenya amehost AFCON basi itakua magic

Most kenyans dont understand whats needed for a stadium to host an elite african match and you will be shocked when time comes
Talanta bado iko under construction we fala. A stadium is categorised and evaluated after its officially complete and handed over to the governing body be it CAF, FKF or FIFA. Hio Kasarani unacheka ilikua ranked ahead of Makwapwa yenu na CAF after minor renovations na ndio maana ilihost finals za CHAN. Talanta is bigger and more modern than Kasarani and Mkapa. It is the first football specific stadium in East Africa. Hii Talanta hata stadium ya Cape town haitafikia.

CAPE Town Stadium
IMG_6873.jpeg

TALANTA STADIUM
IMG_6874.jpeg
 
View attachment 3565302
TALANTA STADIUM
View attachment 3565303
we jamaa chizi 🤣 🤣 unataka kuipita Mkapa kisa ni mpya 🤣🤣, stadiums haziendi ivo boya wewe, hujaona uganda kamaliza stadium na bado kashindwa kufika CAT 4, we kweli boya na uwanja wa uganda its way modern
Talanta labda ukalinganishe na ule uwanja wa kipchoge,
 
Back
Top Bottom