Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,600
- 15,520
Sehemu nzuri sana, maeneo yametulia, hali ya hewa nzuri, ukijani wa kutosha, view ya milima everywhere na maisha ni very affordablekama sio utafutaji mbeya sehem moja nzuri sana ya kuishi na familia
Chakula cha Mbeya kinaweza kulisha Kenya yote maana Kundustan wanateseka sana na njaa 😅