President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,067
- 93,463
Nikiweka vitu vyangu hapa utaniogopa. Upo tayari kuogopa?Kama Chat GPT screenshot pekee umeshindwa sasa ni nini ya maana unaweza jibu. 😆 😆
Nikiweka vitu vyangu hapa utaniogopa. Upo tayari kuogopa?Kama Chat GPT screenshot pekee umeshindwa sasa ni nini ya maana unaweza jibu. 😆 😆
Bro, sio lazima mtu alipie Chat GPT. Our lives don't revolve around Chat GPT. Kama unaona kulipia Chat GPT ni kitu cha maana sana tuonyeshe yako uliyolipia ama ukimye. Yani wewe ni kama ukitembea mtaana ununue karanga nami nisinunue basi utajiona tajiri kunishinda. Ndio maana nakwambia huna akili na huna exposure. Haikosi mambo ya mtandao umeyaanza juzi.Ndugu NairobiWalker nimekueleza kuwa hizo ni taarifa zangu binafsi. Kama wewe unaona heri kuweka taarifa zako hapa basi ni heri kwako. Mimi nina uhuru wangu na wewe upo na wako. Lakini ukweli tumeona wote kuwa umeshindwa kulipia $20 kwa mwezi
Usinifanye nicheke. 😆 😆Nikiweka vitu vyangu hapa utaniogopa. Upo tayari kuogopa?
Mbona swali rahisi sana ndugu NairobiWalker Kama upo tayari kuogopa nianze kumwaga vitu hapa.Usinifanye nicheke. 😆 😆
Mwaga tukuogope. 😆 😆Mbona swali rahisi sana ndugu NairobiWalker Kama upo tayari kuogopa nianze kumwaga vitu hapa.
2020 imekuwa 2000? Stop the desperation nyamweziReport ya mwaka 2,000 nadhani wewe ulikuwa hujazaliwa. Asante kwa kutukumbusha tulikotoka
Jibu swali upo tayari kuogopa?Mwaga tukuogope. 😆 😆
Hivi leo ni mwaka gani?2020 imekuwa 2000? Stop the desperation nyamwezi
Sawasawa Nyamwezi, a proud alumni of Saint Kayumba community integrated primary schoolTaja shule tano na vyuo viwili vilijengwa na kenya. Kila mtu anajua shule zote kenya zimeachwa na wakoloni.
2000Hivi leo ni mwaka gani?
Hivi wewe una miaka mingapi? Anyway wacha nikuignore. You're irredeemably stupid. Nimeona arguing with you can literally drop my IQ points. Nitajibu mtu wa maana akijoin mjadala. For now, you're in my ignore list. 🤣 🤣Jibu swali upo tayari kuogopa?
Umeshindwa kutaja, Huwezi kuukimbia ukweli, shule zote Kenya zimejengwa na wakoloni. Serikali ya kenya haijajenga shule yoyote since 1963Sawasawa Nyamwezi, a proud alumni of Saint Kayumba community integrated primary school
Mkiambiwa ukweli mnakimbia.Hivi wewe una miaka mingapi? Anyway wacha nikuignore. You're irredeemably stupid. Nimeona arguing with you can literally drop my IQ points. Nitajibu mtu wa maana akijoin mjadala. For now, you're in my ignore list. 🤣 🤣
View attachment 3565075