Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Interestingly Kenya pekee ndio imebadilisha form of education kabisa from what mkoloni alituachia. Tulienda 8-4-4 saahii tuko CBC. Nyinyi bado mko tu pale pale O levels na A levels za mkoloni na bado unapata nguvu za kuongelea elimu. 🤣 🤣
Nikikumbuka Serikali ya Kenya haijawahi kujenga shule yoyote. Also mmebadilisha classes lakini mnafundisha ujinga ule ule wa Malkia Elizabeth
 
Give us data from reliable sources. Not from tomato sauce
Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Nikikumbuka Serikali ya Kenya haijawahi kujenga shule yoyote. Also mmebadilisha classes lakini mnafundisha ujinga ule ule wa Malkia Elizabeth
Hii ndio tunaita lack of exposure. No wonder unadhani dollar millionaires hawana cha kufanya Nairobi wakati Nairobi has the 3rd highest number of dollar millionaires in Sub Saharan Africa.
 
Kupost screenshot ya chat GPT ndio unaita personal life? Enyewe wewe ni ng'ombe. I think I actually gave you more credit than you deserve — and honestly, I didn’t rate you that highly to begin with.
Sasa hiyo screeshot si ni ya account yangu? Account ya Chatgpt ni personal issue NairobiWalker au hujui?
Tanzania tupo na sheria ya Taarifa binafsi.
 
Kutaja shule tano tu na vyuo viwili umeshindwa mpaka unanitusi na kunisema sina akili? Nimeumia sana. Ukiniuliza mimi hapa tanzania nakutajia kila kitu.
Siwezi jibizana na vitu vya upuzi. Rudi nyuma kwa huu uzi tumediscuss shule sana. Unarukaruka kama mwendawazimu ukitegemea tukufuate nyuma wee kipii?
 
Back
Top Bottom