President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Taja shule tano na vyuo viwili vilijengwa na kenya. Kila mtu anajua shule zote kenya zimeachwa na wakoloni.Si mko desperate as fvck! Eti serikali ya Kenya haijafanya nini?😂😂
Taja shule tano na vyuo viwili vilijengwa na kenya. Kila mtu anajua shule zote kenya zimeachwa na wakoloni.Si mko desperate as fvck! Eti serikali ya Kenya haijafanya nini?😂😂
NairobiWalker naona unahasira ukiambiwa ukweli. Ukweli unauma nalijua hiloHii ndio tunaita lack of exposure. No wonder unadhani dollar millionaires hawana cha kufanya Nairobi wakati Nairobi has the 3rd highest number of dollar millionaires in Sub Saharan Africa.
Kupost screenshot ya chat GPT ndio unaita personal life? Enyewe wewe ni ng'ombe. I think I actually gave you more credit than you deserve — and honestly, I didn’t rate you that highly to begin with.That's my personal life bwana NairobiWalker
Bro, huna akili. You need a brain transplant.Taja shule tano na vyuo viwili vilijengwa na kenya. Kila mtu anajua shule zote kenya zimeachwa na wakoloni.
Ng'ombe kama wewe na ukweli kwa sentensi moja ni kicheko. 😆 😆 😆NairobiWalker naona unahasira ukiambiwa ukweli. Ukweli unauma nalijua hilo
Sasa hiyo screeshot si ni ya account yangu? Account ya Chatgpt ni personal issue NairobiWalker au hujui?Kupost screenshot ya chat GPT ndio unaita personal life? Enyewe wewe ni ng'ombe. I think I actually gave you more credit than you deserve — and honestly, I didn’t rate you that highly to begin with.
Ndio maana nikasema huna akili.Sasa hutaki kusemwa ukikosea? Jifunze kiswahili sanifu.
Kutaja shule tano tu na vyuo viwili umeshindwa mpaka unanitusi na kunisema sina akili? Nimeumia sana. Ukiniuliza mimi hapa tanzania nakutajia kila kitu.Bro, huna akili. You need a brain transplant.
Vile mimi nimepost yangu ni kipi umejua kunihusu sasa as a person? Ni kama umetumia komputa mara ya kwanza juzi. 😆 😆Sasa hiyo screeshot si ni ya account yangu? Account ya Chatgpt ni personal issue NairobiWalker au hujui?
Tanzania tupo na sheria ya Taarifa binafsi.
Je, unakataa kuwa Tanzania kuna mabilionea na kenya hakuna?Ng'ombe kama wewe na ukweli kwa sentensi moja ni kicheko. 😆 😆 😆
Siwezi jibizana na vitu vya upuzi. Rudi nyuma kwa huu uzi tumediscuss shule sana. Unarukaruka kama mwendawazimu ukitegemea tukufuate nyuma wee kipii?Kutaja shule tano tu na vyuo viwili umeshindwa mpaka unanitusi na kunisema sina akili? Nimeumia sana. Ukiniuliza mimi hapa tanzania nakutajia kila kitu.
Enyewe unakuawanga na maswali za ujinga. 😆 😆Name just one
Ngoja nikupatie elimu bure.Ndio maana nikasema huna akili.
Shule tano tu na vyuo viwili kuvitaja imekufanya uwe na hasira hivi. Samahani sana ndugu NairobiWalker sitakuuliza tena kuhusu serikali ya kenya kujenga shule maana unaumia ukiona swali hilo.Siwezi jibizana na vitu vya upuzi. Rudi nyuma kwa huu uzi tumediscuss shule sana. Unarukaruka kama mwendawazimu ukitegemea tukufuate nyuma wee kipii?
Sawa mwalimu wa shule ya msingi. Sasa tuoNYEshe ChatGPT yako yenye umelipia tuone kama italeta tofauti na yangu yenye sijalipia. 😆😆Ngoja nikupatie elimu bure.
Unatakiwa kusema Tuoneshe siyo tuonyeshe
Neno tuoneshe limetokana na neno ona
Neno tuonyeshe limetokana na neno Onya
Sasa hutaki kusemwa?
Mimi ukiniuliza swali hilo najibuEnyewe unakuawanga na maswali za ujinga. 😆 😆
mmeamua kuiga Kariakoo market?
View: https://www.instagram.com/reel/C88pE1vNSIc/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Kama Chat GPT screenshot pekee umeshindwa sasa ni nini ya maana unaweza jibu. 😆 😆Mimi ukiniuliza swali hilo najibu
Ndugu NairobiWalker nimekueleza kuwa hizo ni taarifa zangu binafsi. Kama wewe unaona heri kuweka taarifa zako hapa basi ni heri kwako. Mimi nina uhuru wangu na wewe upo na wako. Lakini ukweli tumeona wote kuwa umeshindwa kulipia $20 kwa mweziSawa mwalimu wa shule ya msingi. Sasa tuoNYEshe ChatGPT yako yenye umelipia tuone kama italeta tofauti na yangu yenye sijalipia. 😆😆