stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,912
- 15,808
Nimeicheck game. Walikuwa wanatumia miguvu kweli. But Dar city walikuwa wanatumia utaalam. Kila wanachojaribu tunawachapa.mwaka mgumu sana kwa kenya, kule ruto kulia afcon fees kiungo teleza dar city anatokea kushoto
wanaonyeshaga channel ganNimeicheck game. Walikuwa wanatumia miguvu kweli. But Dar city walikuwa wanatumia utaalam. Kila wanachojaribu tunawachapa.
Subscribe hapa bure unapata kila kitu:wanaonyeshaga channel gan
Tumewalomba kunyan
chap chap hio pipeline ipite bongo
View: https://x.com/The_EastAfrican/status/2037786773913567533?s=20
Ni wapumbavu.Hamna kitu deal kama hizi zinaambatana na ubinafsi! Si uaona hata mahindi wanaenda Zambia badala ya kuchukua Bongo!
Hao vibaraka wa beberu Kundustan na Uganda watandijwe tuu.Hawajui Somalia na Yemen Houthis na Somalis ni Kaka na Dada. Israel anaitambua Somaliland automatic Somalia itakuwa Kinyume na Israel.
Hawa watu wanatafuta matatizo yasiyowahusu. Houthis wameshatangaza Tayari wanaunga mkono Iran. Somalia nao mambo yakiendelea utasikia wanaunga mkono Iran.
UAE ni Israel wa kiarabu analeta vurugu pale Sudan kwa kuwapatia Silaha Waasi. UAE na Saudi Arabia haziivi.
Wakenya waache kuingilia vitu visivyowahusu. Watanyolewa kwa chupa na hakuna wa kuwasaidia
Nakuru ni mji wa nne Kenya ila ikija huko kwenu unakua wa piliHii ndiyo third city yenu. Duh!! hatari imechakaa sana
sasa zambia si ni msaadaHamna kitu deal kama hizi zinaambatana na ubinafsi! Si uaona hata mahindi wanaenda Zambia badala ya kuchukua Bongo!
hii ndo mnaita city?Nakuru ni mji wa nne Kenya ila ikija huko kwenu unakua wa pili