stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,808
- 15,717
Jamaa wabinafsi na wanatuchukia mno,magu ndio alikua anaenda sambamba hawaHamna kitu deal kama hizi zinaambatana na ubinafsi! Si uaona hata mahindi wanaenda Zambia badala ya kuchukua Bongo!
You threaten us with hunger if you refuse to sell us your maize, then you complain when we buy elsewhere. How many times have I called you out of your delusion by telling you the customer is always the boss? 🤣 🤣Hamna kitu deal kama hizi zinaambatana na ubinafsi! Si uaona hata mahindi wanaenda Zambia badala ya kuchukua Bongo!
Kwaivo mimi siwezi picha kama hizi za dar au mwanza? Ndo maana watu hukuignore kwenye hii forumhii ndo mnaita city?
View attachment 3563873
Wivu unawasumbua! Ngoja tuone!Jamaa wabinafsi na wanatuchukia mno,magu ndio alikua anaenda sambamba hawa
onyeshaKwaivo mimi siwezi picha kama hizi za dar au mwanza? Ndo maana watu hukuignore kwenye hii forum
ya kwetu hii apaoops, nimekuja mbio nilifikiri ni dar yetu overtakes nairobi, kumbe ni kigali ...
zambia wametoa msaada na sio business, cant you just reason how much the cost will be from zambia vs from moshi?You threaten us with hunger if you refuse to sell us your maize, then you complain when we buy elsewhere. How many times have I called you out of your delusion by telling you the customer is always the boss? 🤣 🤣