Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya Tayari wameonywa na Iran. Tunaweza kushuhudia Missile zinashuka Nairobi:

1774716621955.png

1774716639042.png
 
Hawajui Somalia na Yemen Houthis na Somalis ni Kaka na Dada. Israel anaitambua Somaliland automatic Somalia itakuwa Kinyume na Israel.

Hawa watu wanatafuta matatizo yasiyowahusu. Houthis wameshatangaza Tayari wanaunga mkono Iran. Somalia nao mambo yakiendelea utasikia wanaunga mkono Iran.

UAE ni Israel wa kiarabu analeta vurugu pale Sudan kwa kuwapatia Silaha Waasi. UAE na Saudi Arabia haziivi.

Wakenya waache kuingilia vitu visivyowahusu. Watanyolewa kwa chupa na hakuna wa kuwasaidia
 
Hao vibaraka wa beberu Kundustan na Uganda watandijwe tuu.

Tanzania na Iran ni marafuki wa haja
 
Hamna kitu deal kama hizi zinaambatana na ubinafsi! Si uaona hata mahindi wanaenda Zambia badala ya kuchukua Bongo!
You threaten us with hunger if you refuse to sell us your maize, then you complain when we buy elsewhere. How many times have I called you out of your delusion by telling you the customer is always the boss? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom