NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,332
- 17,912
Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
We huna akili. Nani amesema ya kwetu si sad. Unadhani ninafurahi watu kuuawa?Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
nilishaenda pale, nasemea kwa uzuri, pia ni ndogo! when you compare it to JKIA, in terms of arrangement basi JKIA looks like a slum 🤣 🤣 🤣 , pia ndege za rwanda they are also small but well maintainedHebu tueleze kivipi? Hujajua regional politics kama Nairobi bado ina-claim kuwa na room capacity kubwa kuliko Zanzibar! What makes u believe hicho unachosoma?
hio ni made up number, no one has that evidence however sisi we are more socialists than what kenya claims to be most democratic or katiba bora, everything thats happening now is an insult to all the claimsHuko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
with whom are you doing that PPP?Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Nyani haoni KunduleHii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Sheer Audacity of these folks while this guy is still in jail.Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
Ukipandwa na hasira hivi huwa najua mwiba nimeuchoma penyewe. Mauaji ya kwenu hayajawai tokea eneo hili la Kenya Uganda na Tanzania ila sijawai kuona ukiyaongelea. Leo hii unajifanya uko na humanity sana uyaongelee ya Kenya ya watu sita pekee? Wacha unafiki. Serikali yenu ilivyo ya kidikteta hao ni watu wanaoliwa kila siku hapo kwenu sama hamna aliye na ujasiri wa kuyaongelea asije akapotezwa.We huna akili. Nani amesema ya kwetu si sad. Unadhani ninafurahi watu kuuawa?
Unajitengenezea imaginary arguments kama fala
When it comes to Kenya they pretend they care so much about human rights. They even mourn more than the berieved. 🤣 🤣Sheer Audacity of these folks while this guy is still in jail.View attachment 3563011
Mauaji ya Tanzania nimeongelea mara nyingi sana, na sijaacha kuongelea hadi leo.Ukipandwa na hasira hivi huwa najua mwiba nimeuchoma penyewe. Mauaji ya kwenu hayajawai tokea eneo hili la Kenya Uganda na Tanzania ila sijawai kuona ukiyaongelea. Leo hii unajifanya uko na humanity sana uyaongelee ya Kenya ya watu sita pekee? Wacha unafiki. Serikali yenu ilivyo ya kidikteta hao ni watu wanaoliwa kila siku hapo kwenu sama hamna aliye na ujasiri wa kuyaongelea asije akapotezwa.
Hawa ni chuki huwasumbuaHii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Unaropokwa as if Ukunduni mlianzisha toll roads kumbuka Kigamboni bridge was the first project in EA!Another Expressway loading...
Nairobi-Mombasa Expressway to Become Toll Road Under Ksh389 Billion PPP Project, Treasury Confirms
![]()
Treasury Unveils Key Features of Ksh 389B Nairobi-Mombasa Highway Expansion
Once complete, the Nairobi-Mombasa expressway is expected to significantly reduce travel time and improve efficiency in cargo movement between the two cities.www.kenyans.co.ke
Tanzania hata Daraja la Kigamboni ni PPP, kati ya serikali na NSSF.Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣