stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,905
- 14,669
Kwa hivo wewe ukilipia daraja la kigamboni unakuwa maskini ila mimi nikilipia expressway nakuwa tajiri? Akili za kibongolala vaane.Tanzania hata Daraja la Kigamboni ni PPP, kati ya serikali na NSSF.
HTa hiyo barabra ya Chalinze kuwa PPP ni mali ya kila mtu, na inajengwa kwa akili, na ndio maana Contractor mwenye bei kubwa amekuwa rejected na inaamza upya.
Kenya NAIROBI expressway, imejengwa maalum kwaajili ya RICH PEOPLE wanaoishi kwenye BANANA Nairobi aka Expressway Neighbourhood, frok JKIA to Uppwerhill, Westland, etc
But, mnalipa makapuku
Why shouldn't he be in jail?Sheer Audacity of these folks while this guy is still in jail.View attachment 3563011