stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,856
- 41,398
lakini MGR yetu saaahv ina muonekano mzuri kuliko SGR Ya keknya, vile vichwa tu vyenyewe ni world classzaidi ya 70 km/h!
View attachment 3558211
lakini MGR yetu saaahv ina muonekano mzuri kuliko SGR Ya keknya, vile vichwa tu vyenyewe ni world classzaidi ya 70 km/h!
View attachment 3558211
si ndio maana Uganda wana-import mafuta yao wenyewe Mombasa port!una bandari alafu mafuta bei juu kuliko ambae hana bandari 🤣
imagine kenya ndo angekua na sea access peke yake 🤣🤣🤣 tungenyanyasika sio kitotosi ndio maana Uganda wana-import mafuta yao wenyewe Mombasa port!
we unafikiri kwann Museveni anajenga SGR na sisi pia? Levies kila siku Mombasa port! Na hata Kenya pipeline kawalazimisha kuwa na 2 board members with VETO power!imagine kenya ndo angekua na sea access peke yake 🤣🤣🤣 tungenyanyasika sio kitoto
mzee anacheza kama kijana, ndo maana alikua analilia oceanwe unafikiri kwann Museveni anajenga SGR na sisi pia? Levies kila siku Mombasa port! Na hata Kenya pipeline kawalazimisha kuwa na 2 board members with VETO power!
#Teaser Afcon 2027#View attachment 3558215
nawaonea huruma wakenya
lile lilikuwa fumbo! Mafala hawakuelewa anamaanisha nn!mzee anacheza kama kijana, ndo maana alikua analilia ocean
The issue in contention here is 5 stars facilities. If the facility has 20 rooms does it remove the fact that it is a 5 star facility? Sometimes uwe unatumia akili kidogo basi.Nilijua wewe ni pumbavu ndio maana unatuonyesha stats based on tripadvisor. 😂😂😂 Unasahau Nairobi has bigger 5 star hotels, many with over 100 rooms, unataka kucompare na resorts za 20 people.
Naona kuna mjadala wa underground trains unaendelea, wakifika mwisho nawapa majibulile lilikuwa fumbo! Mafala hawakuelewa anamaanisha nn!