Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanga jiji ni moja ya sehemu ambayo bado baskeli ni taxi ukiachana na kahama, shinyanga, nzege, igunga na tabora

IMG_3621.jpeg


IMG_3622.jpeg
 
You are out of line now. Sasa hapo shida nini? Invester kapewa kibali hadharani tatizo nini? Kwani wakati wa Magufuli watu walikuwa hawachimbi dhahabu?
umesoma vzr hio habari mkuu au umekuja kuniwashia moto wa bure
 
Hata Amsterdam usafiri namba moja ni baiskeli.
kwamba ndio usafiri unabeba abiria au sio 😂
amsterdam wanatumia baiskeli watu binafsi ila sio kubeba abiria mzee

usichnganye mada shida yako ww unakurupuka sana 😂😂
 
Back
Top Bottom