stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,791
- 15,716
una bandari alafu mafuta bei juu kuliko ambae hana bandari š¤£
hizo akili za kenya haziaplly ukuNdio maana ulizaliwa nchi inaongozwa na mwanamke with 1970 rules!!!
all that are proxies.
Ata iyo Dar port yenu ni mwarabu anarun but nyuma ya pazia ni company ya MAMA wenu amejificha
Mtaamka lini!!!
how bad is kenya sgr mpaka ruto anaongelea sgr ya tanzania kila sku
View: https://www.instagram.com/p/DVqBEr4lj7M/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Juzi mara tanzania wamenunua plot, mara sgr mzee anataka kuhamia nnyuko desperate! Ngoja uone anavyoenda kuwabeba ufalamanga Wakundustani kuanzia Tar. 20.03.2026!
mahesabu hayaendi huko kwake kumbuka kahaidi Afcon 2027, SGR Naivasha-Kisumu-Malaba na brand new JKIA!Juzi mara tanzania wamenunua plot, mara sgr mzee anataka kuhamia nn
ata mm ningeahidi ivo bana, si unajua vijana vichaa walemahesabu hayaendi huko kwake kumbuka kahaidi Afcxon 2027, SGR Naivasha-Kisumu-Malaba na brand new JKIA!
Hizo zitakuwa zimetoka assembly line pale karakana za TRCbasi good move, nliziona pale kamata zikiwa na badges za AFCON
zaidi ya 70 km/h!MGR ya bongo inaenda ngan? š¤£š¤£ kuna kitu nataka kuona
lakini MGR yetu saaahv ina muonekano mzuri kuliko SGR Ya keknya, vile vichwa tu vyenyewe ni world classzaidi ya 70 km/h!
View attachment 3558211
si ndio maana Uganda wana-import mafuta yao wenyewe Mombasa port!una bandari alafu mafuta bei juu kuliko ambae hana bandari š¤£
imagine kenya ndo angekua na sea access peke yake š¤£š¤£š¤£ tungenyanyasika sio kitotosi ndio maana Uganda wana-import mafuta yao wenyewe Mombasa port!
we unafikiri kwann Museveni anajenga SGR na sisi pia? Levies kila siku Mombasa port! Na hata Kenya pipeline kawalazimisha kuwa na 2 board members with VETO power!imagine kenya ndo angekua na sea access peke yake š¤£š¤£š¤£ tungenyanyasika sio kitoto