ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,503
keep dreaming! loser....! ili unatu-blackmail? 😕 😕Mimi nangoja tu muanze kuweka viti. 🤣 🤣
Kumbe bado mnaumia na ujenzi wa Talanta stadium? 🤣🤣 I thought you were already in "acceptance stage"But why do these Singa poorians build some overhyped stadium kwa pesa za misaada ikiwa three million Kenyans starve to death , this is a typical kunyan style, No priorities.
sad that families go three days without food and we are here arguing this and that. Pathetic wretched failed state, kasongo be the most corrupt president in the world.
![]()
290K views · 6.7K reactions | Mashirika ya msaada yanatahadharisha ukame wa muda mrefu umesababisha uhaba mkubwa wa chakula katika nchi kadhaa za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Kenya, Somalia, Ethiopia. Nchini Kenya kwa mfano, serikali imesema
Mashirika ya msaada yanatahadharisha ukame wa muda mrefu umesababisha uhaba mkubwa wa chakula katika nchi kadhaa za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Kenya, Somalia, Ethiopia. Nchini Kenya kwa...www.facebook.com
Nmeziona pale kamata jana nkajua ndo za commuter zilikua na kama badge za afconHapana hii ni locomotive ya mizigo iliagizwa kutoka Malaysia miaka kama 5 -7 iliyopita
unfortunately hata vya kwa mkapa vinatolewa vinawekwa foldableMimi nangoja tu muanze kuweka viti. 🤣 🤣
sisi tumeona hamna daily dose ikabidi tusaidie kaziKumbe bado mnaumia na ujenzi wa Talanta stadium? 🤣🤣 I thought you were already in "acceptance stage"
Kumbe kidonda bado inatoa damu!!