stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,360
- 39,541
nlikua naikubali sana hio timu sjui iliendaga wapTimu ya Ndanda huwa inatumia uwanja wa Nangwanda Stadium ambao upo Mtwara mjini. Hii Ndanda haipo Mtwara mjini, ipo wilaya ya Masasi lakini nfani ya mkoa wa Mtwara
Japokuwa timu ina jina la Ndanda ila wao wapo Mtwara mjini, sijajua sasa kama hiyo timu originally inatokea huku