Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imekuwa majigambo ya Wakundustani! Chaaa... Wakundustani kwa misifa! Yaani hamna nchi inayoona cha maana kwa hili ila Ukunduni ipo twitter ikijisifu! Yaani ni aibu!
Nimeona wanajigamba wakati hata pale JNIA zilipaki hizo Emirates na Qatar nk na sijaona mtu akijigamba,
Wapenda sifa wanajigamba ujinga hawa kondoo. 😂😂😂
 
Imebidi niangalie ni usafiri upi? nimekuta ni mikebe!

View: https://youtu.be/vyvhPCVYneY?si=ldv60PYG9lavmqhD

Uzuri hakuna Super Metro hata moja imechakaa hivi ukipata hata moja nitag nifunge hii account. 😂 😂 😂

Image

Image



Image
 
Uzuri hakuna Super Metro hata moja imechakaa hivi ukipata hata moja nitag nifunge hii account. 😂 😂 😂

Image

Image



Image
But hizi haziingii town ni tafauti na zile zenye kunguni mnazotumia kama main transport, hata ivo hizi hazioperate sehem kwenye BRT
 
Back
Top Bottom