Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Timu ya Ndanda huwa inatumia uwanja wa Nangwanda Stadium ambao upo Mtwara mjini. Hii Ndanda haipo Mtwara mjini, ipo wilaya ya Masasi lakini nfani ya mkoa wa Mtwara
Japokuwa timu ina jina la Ndanda ila wao wapo Mtwara mjini, sijajua sasa kama hiyo timu originally inatokea huku
ndo timu asili yake ni Ndanda Masasi district!

Screenshot 2026-03-07 183533.png
 
Linapokuja suala la corruption Ruto namuheshimu sana. Ni mpole ukimuona anavyoongea na wananchi wake lakini anafanya corruption mpaka corruption yenyewe inashangaa 😂😂
kuna kuiba na kuna KUKWAPUA sasa ruto kawafundisha wote hao kashavuka stage zote mbili za kuiba na kukwapua
 
Back
Top Bottom