stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,857
- 40,212
Aisee nilifikiri Mrusi atawatia woga!
View: https://www.instagram.com/p/DU5krA4jo1_/?utm_source=ig_web_copy_link
ila wakenya 🤣 🤣
Aisee nilifikiri Mrusi atawatia woga!
View: https://www.instagram.com/p/DU5krA4jo1_/?utm_source=ig_web_copy_link
tumalizie uwanja wa dodoma na FUMBA, mtu yyuko fifty fity ya nn, ata uganda wanamshindaHatoki mtu hapa man to man marking 😁
walipe kwanza participation cost yao CAF.
sema kiuhalisia ata ingekua wewe ni m7, bei za mafuta bei ya usafiri inapanda, utatumiaje huo usafiri?yaani kwa bei hoyo bado haija hit the roof mbona kutakuwa shida sana siku za usoni duh.
hio inaitwa atrain to nowhereI feel pity for SGR sijui cargo transportation cost itakuaje maana hakuna namna zaidi ya ku revise cost upwards. Hapo ndio unaona faida ya electric train powered by own gas and hydro electricity sources. kama wewe ni investor unahitaji predictable and stable costs za production kwenye forecast zako utaunga reli ipi hapa?
hawa jamaa ni wachafu vibaya mnoCheki walivyoiba design ya soko la kariakoo hapo background.
This city is very dirty indeed nakumbuka siku moja zamani kidogo wakati huo nilikuwa siijui Naipori vzr nilipiga vitu vyangu hapo Simmers ucku nikakosea turn moja nikaingia sokoni kuchafu balaa karibu nipate hasara kwa kucheua lager nilizokunywa dah ilikuwa kinyaa sana.
ukicheza apo mda wa kushuka unaitafuta kibera hospitalDuh hapo si unaweza ukavunja mguu 😁
kama sio utafutaji mbeya sehem moja nzuri sana ya kuishi na familiaHouses in Mbeya
View attachment 3551755View attachment 3551756View attachment 3551757View attachment 3551758View attachment 3551760View attachment 3551763View attachment 3551764View attachment 3551765View attachment 3551771View attachment 3551766View attachment 3551767View attachment 3551768View attachment 3551769View attachment 3551770
Sehemu nzuri sana, maeneo yametulia, hali ya hewa nzuri, ukijani wa kutosha, view ya milima everywhere na maisha ni very affordablekama sio utafutaji mbeya sehem moja nzuri sana ya kuishi na familia
ivi ile story ya kwamba kuna chips za jero ni kwel? eti chombeza ni sahani nzimaSehemu nzuri sana, maeneo yametulia, hali ya hewa nzuri, ukijani wa kutosha, view ya milima everywhere na maisha ni very affordable
Chakula cha Mbeya kinaweza kulisha Kenya yote maana Kundustan wanateseka sana na njaa 😅
ingekua wale wazungu wangetupa takataka mji mzimaHow a modern city looks like
View attachment 3551875
si unaona walivo weusi kupindukia, maana yake imetoka kwenye DNA
Logistics shows that Port Douala is more closer to the markets of North America and Europe than Angola ( unless your focus is South America). I am sorry the Geography is not on your side .Unadhani ni project rahisi kama kuchoma mtura nini?
Mambo yamesha shift from Dar port to Benguela Port Angola ... TAZARA tayari ipo on place na sasa hivi Iko under heavy maintenance ... Na pia kwenda Matadi Port Congo ambapo DP world tayari wamechukua Bandari na wanaendelea na ujenzi mkubwa.
So from Dar tunajiunga na Lobito corridor from Zambian copper belt to Angola via Ndola... Pia same TAZARA can link us to Congo via Kasama Marshalling. Bado kuna Karema Port in lake Tanganyika... On eastern side kuna construction of SGR line to Congo Via Burundi all the way to Matadi Port.
Hiyo ya kwenu huko ni ndoto ya mchana... Huku central corridor mambo yapo kwenye utekelezaji tayari.
DOnt worry man, are as kenyans have superior trainsLogistics shows that Port Douala is more closer to the markets of North America and Europe than Angola ( unless your focus is South America). I am sorry the Geography is not on your side .
Na governor wa Nairobi anenda kushinda second term!