Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi barabara ya Mandela kuelekea Mkapa kutokea Ubungo imefikia wapi?
Awamu ya Tano ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka itahusisha barabara za Nelson Mandela, barabara ya Mbagala na barabara ya Tabata -Segerea – Kigogo zikiwa na jumla ya urefu wa kilometa 26.0. Usanifu wa kina ulifanywa na kampuni ya Kunhwa Engineering & Consulting Co. Ltd ya Korea Kusini. Aidha, Serikali ya Ufaransa kupitia taasisi yake ya AFD (French Development Agency) imetoa mkopo wa fedha kugharamia ujenzi wa miundombinu ya Awamu hiyo ya Tano. Tayari Mhandisi mshauri wa ujenzi amepatikana, na kwasasa TANROADS akishirikiana na Wakala wametangaza zabuni kwa ajili ya kumpata Mkandarasi wa ujenzi.
 
ni vizuri kfahamu maana inachanganya haswa ukitokea TAZARA kile kipande cha Buguruni! Na Afcon inavyokuja ingekuwa link nzuri ya kuendea Mkapa kwa kutokea TAZARA!
 
Sawa tuonyeshe zenye zililay-off vumbistan.
Hatuna ulimbukeni siye kwenye hili hiyo map inatosha kukuonyesha!
Screenshot 2026-03-01 133554.png

Just know no A380 will set foot at JKIA!
 
Za kusugua masafuria ya gulf? 😂😂
Over half of remittances comes from the US and Canada ( mostly the US)… count my share of about $10k a year ( Ksh. 1.2 million) and I am not counting any projects money I send. This coming August I am a guest of honor in a church fundraiser. I intend to give at least $5k personal donation plus more from friends. Now multiply that by thousands of other Kenyan born residents in the US and you can understand how we have the power to run Tanzania economy.
 
Back
Top Bottom