Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,133
Awamu ya Tano ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka itahusisha barabara za Nelson Mandela, barabara ya Mbagala na barabara ya Tabata -Segerea – Kigogo zikiwa na jumla ya urefu wa kilometa 26.0. Usanifu wa kina ulifanywa na kampuni ya Kunhwa Engineering & Consulting Co. Ltd ya Korea Kusini. Aidha, Serikali ya Ufaransa kupitia taasisi yake ya AFD (French Development Agency) imetoa mkopo wa fedha kugharamia ujenzi wa miundombinu ya Awamu hiyo ya Tano. Tayari Mhandisi mshauri wa ujenzi amepatikana, na kwasasa TANROADS akishirikiana na Wakala wametangaza zabuni kwa ajili ya kumpata Mkandarasi wa ujenzi.Hivi barabara ya Mandela kuelekea Mkapa kutokea Ubungo imefikia wapi?
tupo 🤣 , ebu tukomeshe na picha za ndan za icho kichuguu 🤣🤣
ni vizuri kfahamu maana inachanganya haswa ukitokea TAZARA kile kipande cha Buguruni! Na Afcon inavyokuja ingekuwa link nzuri ya kuendea Mkapa kwa kutokea TAZARA!Awamu ya Tano ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka itahusisha barabara za Nelson Mandela, barabara ya Mbagala na barabara ya Tabata -Segerea – Kigogo zikiwa na jumla ya urefu wa kilometa 26.0. Usanifu wa kina ulifanywa na kampuni ya Kunhwa Engineering & Consulting Co. Ltd ya Korea Kusini. Aidha, Serikali ya Ufaransa kupitia taasisi yake ya AFD (French Development Agency) imetoa mkopo wa fedha kugharamia ujenzi wa miundombinu ya Awamu hiyo ya Tano. Tayari Mhandisi mshauri wa ujenzi amepatikana, na kwasasa TANROADS akishirikiana na Wakala wametangaza zabuni kwa ajili ya kumpata Mkandarasi wa ujenzi.
Mngekuwa nazo hamngekuwa mbaexport beggars and drug traffickers to Kenya and South Africa.Za kusugua masafuria ya gulf? 😂😂
How many Middle East airlines spend their nights in Dar is slum?
View: https://x.com/i/status/2027919192016461935
Sawa tuonyeshe zenye zililay-off vumbistan.Mkundustani bana...! So uko sure Ukunduni tu ndio kuna lay-offs? FYI Dar, Zanzibar n Kilimanjaro has had middle east airlines lay-offs!
Hatuna ulimbukeni siye kwenye hili hiyo map inatosha kukuonyesha!Sawa tuonyeshe zenye zililay-off vumbistan.
Hanuezikosa picha bwana. Leta picha wewe Mzee.Hatuna ulimbukeni siye kwenye hili hiyo map inatosha kukuonyesha!View attachment 3550579