stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,813
- 34,566
Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? 😂 😂 😂Nina uhakika 100% akili yako fupi imekuambia hiyo meli inamilikiwa na Mtanzania. 😂😂😂
Ikiwa hadi saa hii hujui kutofautisha real na ai generated images utapata shida sana mtandaoniMY TAKE
Miradi ya Ruto ya kuwabeba ufala soon utaskia story imegeuka atasema tulijenga canal ya kupita fishing boats next Sunday!
Teargass IamLee nairobae Nairoberry NairobiWalker Nicxie n mwathadan
Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? 😂 😂 😂
Na wala sitakuelewesha nakuacha hivo hivo ili huo ujinga ukuaibishe siku moja.Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? 😂 😂 😂
Haitaki hasira, hii sio mara ya kwanza meli imepatikana ikifanya illegal activities na bendera ya bongoslum. You love aiding illegal activities in the high seas ndio maana wanapenda kutumia hio bendera yenu kila mara.Na wala sitakuelewesha nakuacha hivo hivo ili huo ujinga ukuaibishe siku moja.
Nakumbuka wakati wa vita vya kagera JWTZ waliweza kuiongoza Military transporter plane iliyotoka Libya kuja kumsaidia Nduli Iddi Amin ikiwa imebeba wanajeshi wa Libya na Silaha kuanzia anga la Ethiopia, Kenya mpaka Kilimanjaro Airport na kuwaweka chini ya ulinzi mateka wote na silaha zao walizokuwa wanamletea Nduli. Maana waliaminishwa wanatua Entebbe kumbe KIA mpaka leo hili tukio ni mojawapo ya modules kwa MOSSAD.Jeshi letu ndilo lenye historia iliyotukuka Africa, in: wars, covert operations, regime change, coups, leadership.
Na ndio nchi regarded as sub-imperial power in Africa.
I will substantiate all the above na ushahidi wa kutosha.
Badala ya kujenga hii Barabara Kwa vipisi vipisi Kwa nini wasi engage contractors wa kutosha kuipanua yote? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DVNeN7_DHvn/?igsh=a2UxOHR5bnljYnZx