Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
mzee bado tu uko huku unabishana hahahahata Afcon wataona sio tu Mt Kilimanjaro bali Mt Meru na Mt Oldonyo Lengai!
View attachment 3547988
MY TAKE
Endeleeni kukenua ati the best view is at Anboseli wakati the whole World watafuatilia Afcon 2027 kwenye runinga zao!
Teargass IamLee nairobae Nairoberry NairobiWalker Nicxie n mwathadan
Tangu umeondoka wametawala humu ndani!mzee bado tu uko huku unabishana hahaha
hahaha anhh nchi imevurugika hii kaka kwasasa sina chakuisemea 😂😂Tangu umeondoka wametawala humu ndani!
Hii maneno inachafua sana Tanzania!
View: https://www.instagram.com/p/DVLKhSQjL74/?e=ccc21715-0391-46db-9e7d-500b64e1eaa8&g=5
haya sasa wale wa gari moshi na nganya, yaani mpaka huu mwaka unaisha zitakua zimebaki komwe tu
View: https://x.com/Kenyans/status/2026216119183286674?s=20
How is unfinished building qualify to be a 5* hotel?
And who is to benefit? u forgot that over 40% of cement manufacturing belongs to a Tanzanian individual?
Wanatapeli sana watalii, mpaka wameanza kushtuka siku hiziI see more of Tz attractions on KQ planes than Kenyan ones.