Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni maaajabu, kwahio kenya nzima hakuna kampuni ya takataka mpaka wapewe ghana salaleeeee
 
Kuna uwezekano most kenya leaders know the country is about to die, since when ghana wanaenda kufanya usafi nairobi
 
Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? 😂 😂 😂

Wewe endelea kupiga kelele na Bendera tu maana haujui naima marine vessels zinasajiliwa.

While at your backyard kuna Jalisco's operations zinaendelea. Shukuru kuna DCEA Bongo ambao wanafanya kazi kwa ukaribu na DEA... La sivyo mngegeuka nchi ya mazezeta tu.
Screenshot_20260224-214801.png
 
Jeshi letu ndilo lenye historia iliyotukuka Africa, in: wars, covert operations, regime change, coups, leadership.

Na ndio nchi regarded as sub-imperial power in Africa.

I will substantiate all the above na ushahidi wa kutosha.
Nakumbuka wakati wa vita vya kagera JWTZ waliweza kuiongoza Military transporter plane iliyotoka Libya kuja kumsaidia Nduli Iddi Amin ikiwa imebeba wanajeshi wa Libya na Silaha kuanzia anga la Ethiopia, Kenya mpaka Kilimanjaro Airport na kuwaweka chini ya ulinzi mateka wote na silaha zao walizokuwa wanamletea Nduli. Maana waliaminishwa wanatua Entebbe kumbe KIA mpaka leo hili tukio ni mojawapo ya modules kwa MOSSAD.
Watu wanajiuliza TZ kwa wakati huo waliwezaje kuingilia mawasiliano na kuongoza ndege hii juu ya anga la nchi zaidi ya moja (Kenya, Ethiopia) ikiwa ni umbali wa zaidi ya 3000 -4000km kutoka TZ
 
Back
Top Bottom