Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima awe mjanja you cannot build a rail to nowhere just like next door neighbour. Unatumbukiza alot of money za mkopo on a rail ambayo haina possibility ya muendelezo on kenyan side ni hasara ila kenya akipata funding na yeye ataanza kujenga wakizubas na sgr ya Tanzania iwe imefika karibu anahamisha hiyo hela upande wa pili so it is a wait and see game being played by UG wanataka early connection to the sea just like bomba la mafuta walikuwa in favour na route itakayofanya early oil delivery iwe possible
Sasa hata ingekua wewe ndo m7, una mzigo wako umefika bandarini wa madawa, option ya kwanza mzigo unafika sku 3 , ingine 18 hours utachagua ipi 🤣
 
Wakenya wanapitia maisha magumu and other lies. 😂😂😂

Image
 
Back
Top Bottom