NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Hii ndio mbeya unasemanga imeshinda majiji ya Kenya?Ulitaka Tanzania iwaombe Kenya msaada au?
View: https://vt.tiktok.com/ZSmfDf6Kr/
Hii ndio mbeya unasemanga imeshinda majiji ya Kenya?Ulitaka Tanzania iwaombe Kenya msaada au?
halafu mtu binafsi anaweza kujitamba kule Ukunduni the whole President anajitambia Singapore wakati kwa ground ni Singapoor!Hiyo ni biashara, huyo jamaa kaandaa habari ya hivyo ili kubrand jengo lake. Amewatumia Azamtv kutangaza biashara yake kijanja. Huwezi kuelewa
Sio tunapost maisha ya wengine bali hizo huwa ni news zinazotoka huko kwenu sasa unataka tusifiatilie news ama? kila siku news mbaya mbaya tuu Mara civil aviation strike, airport grounded, doctors on strike, university lecturers on strike mara doctors and nurses, mara teachers, mara njaa mara water shortage, mara electrical disturbances mara demonstrations ya unga, kodi and cost of living hapo kuna nchi sasa judge for yourself kabla huja ropoka hapa.Hakuna nchi haina challenges, but that does not mean they are not progressing or working on them. Bongoslum hua munajifanya nikama nchi yenu iko perfect na pia nyinyi muna mashida zenu, kazi yenu nikupoint mashida za wengine so as to make you feel better. 😂 😂 😂 Mtu mwenye wivu ndio hufocus on negativity pekee, typical bongolala behavior.
sasa una compare sector moja tuu unaakili kweli wewe?Ni pumbavu tu ndio anaweza compare Ethiopia na bongoslum when it comes to aviation industry. They are miles and miles ahead of you.
For change to come, we must accept the consequences. Much as i feel for the traders, this is necessary.
KenHa finally removed those vibadas along Thika road. Traders have the option of occupying the newly built markets like the githurai marketView attachment 3545964
View: https://x.com/baroswahjr/status/2024369884398829685?s=46
View: https://x.com/thikatowntoday/status/2024100136742224180?s=46
View: https://x.com/killalando/status/2024233006437679527?s=46
You probably didn’t think this through because it’s not people with “normal” money who put kids in a flippin super-yacht university for semester at sea bro. So best believe they don’t do it on budget. I’ve seen some of their vlogs Kenya is part if their yearly stop so they usually dock for a few days during which they fly to Nairobi masai mara and literally all over the country having fun. These people look like money cause i know exactly what you’re implying.wanafunzi?![]()
😕😕
Because that was the topic in contention.sasa una compare sector moja tuu unaakili kweli wewe?
I mean it isn’t completely empty.. but Yea coz people prefer shopping near the roadside so traders don’t usually prefer the market but now when no oke is on the roadside what choice will people have?
Ingekuwa ni Tanzania hizo vijisababu usingezitoa.I mean it isn’t completely empty.. but Yea coz people prefer shopping near the roadside so traders don’t usually prefer the market but now when no oke is on the roadside what choice will people have?
Mmenda kuomba msaada ya AFCON China na mko hapa kutuambia vile hatutaandaa AFCON. Are you even listening to yourselves?Ulitaka Tanzania iwaombe Kenya msaada au?