Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata benzi ni gari ya zamani.kwani kuna kampuni ya magari imeanza kuzalisha mwaka jana magari unaifahamu???
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
 
Ok. Nyc explanations
But in reality, we're the east african Giants
Even yhe world knows North Korea as the poorest country, but in reality, its one of the well endured countries
 
Usibishane nao bro
Utaumiza kichwa
Kama Tz kuna billioners wawili uko hamna
Watatupitaje sa kwa mamillionaires
 
Ok. Nyc explanations
But in reality, we're the east african Giants
Even yhe world knows North Korea as the poorest country, but in reality, its one of the well endured countries
pengine kwa akili yako pekee...dunia yote inajua kuwa Kenya ndio inaongoza afrika mashariki na kati...ndio maana makampuni yote ya nje yamo na headquartrs Nairobi na sio kwingine
 
jamaa mwenyewe kakubali ana legacy ya 2007 ndugu..kuwa unauliza kwanza...sio kufululiza upumbavu wako namna hii...
Acha ubatamaji kijana.

Embu rejea maelezo yako,kwamba legency ni ya zamani sana,hiyo ni ya mwaka jana tu.

Unaandika ujinga wa wakenya wote.
 
Acha ubatamaji kijana.

Embu rejea maelezo yako,kwamba legency ni ya zamani sana,hiyo ni ya mwaka jana tu.

Unaandika ujinga wa wakenya wote.
smh...jamaa alisema kuwa ana subaru legacy ya 2007...nikamwambia hio ni gari ya zaman sana hata nilipokuwa darasa la 7 nilikuwa naliona...sasa wewe umekimbia Google kutafta gari lingine tofaut kabisa...ndio maana huwa watu wakizungumza inabidi unawawacha wamalize mazungumzo yao...sio kuingilia na kiherehere mambo yasiyokuhusu na kujiaibisha...subaru legacy hii hapa
 
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] haya kanya mkenya gani???
Hapa unaruka kama sio wewe.achaga ufala buda.
 
Wewe orodhesha hao wafukuza upepo tu ndio wataleta mia mia kwenu hapo.lupita hataki mambo ya dongo kundu.
hahahaha...ati hataki mambo kundu...you nailed it bro.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wasanii wanaojivunia watz wote wapo afrika kusini wametoroka umaskini...afadhali waimbaji wa Kenya wanapiga video zao humu na kuishi humuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kina Kiba wamefinyana kule kana kwamba ni viberitiπŸ˜€πŸ˜€
Una wivu wa kike wee jamaaa daaaa hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…