Of course we are building infrastructure and you know that. Wewe mwenyewe unaelewa jinsi Tanzania ilivyo FIRE kwenye infrastructure, sisi tunajenga sana
Kwanza tumejenga SGR railway na tunatumia treni ya umeme ambayo Kenya hakuna, tuna functional BRT system ambayo mlijaribu kujenga Nairobi mkashindwa, tuna longest bridge in East Africa hapo Mwanza, tuna madaraja mazuri zaidi East Africa, tuna bus stations nzuri kuliko Kenya, tunajenga many new universities in small towns, tunajenga industrial park kubwa zaidi East Africa na ikiwezekana Africa katika mkoa wa Pwani, tunajenga moja ya airport kubwa zaidi Africa "Msalato Airport Dodoma", tumeanza ujenzi wa BRT system Zanzibar, tumekamilisha ujenzi airport ya Sumbawanga, tunajenga modern bus station Mbeya, tunajenga infrastructure nyingi sana, most Kenyans mnajua kuwa linapokuja suala la kutekeleza ujenzi wa miradi Tanzania ipo vizuri