Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaumia sana kuona tuna Mount Kilimanjaro
Wao wana ule Mount Kenya ambao ni kama tu any other regular mountains
halafu wanapenda kujifananisha na Watanzania wa Kilimanjaro na Arusha!Ukiongea nao hawakosi kujiweka nao! Wabaguzi kwelikweli!
 
Wacha upumbavu , Major animals like giraffes don’t dwell in dense mountain forests .. they feed on Savanah vegetation … Hata hiyo map you have shown is just a dense forest on the mountain slope. Again Tanzania side of Kilimanjaro is the windward fertile side while Kenyan side is the leeward Savanah .( similarly to Mt. Kenya … Meru side is windward meaning rich in fertile and agricultural land whereas Nanyuki is the leeward side , just a Savannah horizon.) .. you are lucky the border line put the whole mountain on your side but Kenya maintains the best view
kama haukaribii kuchizika basi tayar ushachizika
 
That’s Amboseli national park in Kenya …🤣🤣🤣🤣… you have no shame ..
wacha wee
1771071679933.png
 
Bongolala, insha refu haitakusaidia. Sasa ujenzi wa airport sumbawanga na industrial park inahusakanaje na maandalizi ya AFCON? Unaona ubaya wa kutumia hisia kwenye mijadala badala ya logic. You mentioning all these unasahau uwanja wenu wa Arusha doesn't have even a single supporting infrastructure and AFCON is next year!! Limit this discussion to AFCON. Mambo ya industrial parks na Sumbawanga airport peleka Tandale kwa mfuga mbwa!
is that stadium complete? then tuliza komwe
 
You were simply looking for an escape route bongolala na nimekuumbua. Eti umeniuma? Nini iniume hapo wakati airports hata sisi tunajenga even as I write this. Umeona mkenya akizitaja as one of the supporting infrastructure za AFCON? Unataja hadi daraja ya Mwanza as if Mwanza kutachezwa AFCON! Hapa tunaongea AFCON supporting infrastructure. Hizi story ndefu za madaraja na industrial parks peleka vijiweni. Industrial parks are all over Kenya and they have nothing to do with AFCON
but which supporting infrastructure do you have? au you mean this
1771072381873.png
 
That's a PPP project bongolala paid for by Kenyans. Hamna Hela za ujenzi lakini midomo ni za chiriku! Bure kabisa
but kenyans are poor how can they pay for such a project 🤣 🤣 , kwa kifupi ile ni loan
 
Back
Top Bottom